Watanzania kuna watu wanatuchonganisha maana wadau wengi hawakutaka kusubiri ukweli na walichotaka wao ni Sheikh Ilunga tu akamatwe kana kwamba Sheikh Ilunga ana ugomvi nao !!
Baada ya kusikia ni Victor wameshakaa kimyaaa !
Kwanini alivaa kanzu ? Ili iweje ?
Mkuu,
Mungu apishe mbali hayo.. hapo wapi? Labda mbona inaonekana kama Afika ya kati/congo/Ruwanda hivi au IRAQ?
Lakini hii sijambo la kujifaraguwa nalo !! au jambo la kukebehi !! Tafadhali tuwe wakweli katika nafsi zetu. Amina
Ni bora kujenga ya maana kuliko kuvunja udugu na uzalendo uliyokuwepo tangu miaka hiyo.
Tusimame pamoja katika wakati huu mgumu.
Serikali bana! Imekamata watuhumiwa tisa, lakini jina lililotajwa ni moja! Ha ha haa, mwenye akili jiulize!
Watanzania kuna watu wanatuchonganisha maana wadau wengi hawakutaka kusubiri ukweli na walichotaka wao ni Sheikh Ilunga tu akamatwe kana kwamba Sheikh Ilunga ana ugomvi nao !!
Baada ya kusikia ni Victor wameshakaa kimyaaa !
Kwanini alivaa kanzu ? Ili iweje ?
Kwani Ally Mohammed hawezi kuwa Mkristo?
Tutashuhudia mengi sana yaliyo nyuma ya pazia
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
kwani hao tisa hawana majina? au coz ni waislamu?wametaja la kikristo ili watu watulize munkari. ccm wanadhani watanzania wa sasa wana umbumbumbu kama wa miaka ya arobaini.
Zimefika zile nyakati ambazo kuwa MUISLAMU ni zaidi ya kushika koo la moto !
Mimi ntaendelea kujitambulisha kwa dini yangu kama mkiihitaji kama Muislam na wala sitaogopa kitu...Endeleeni kuwafitinisha Waislamu na Tanzania yao kwa maslahi yenu !
We are waiting....
mnafiki wa kwanza ni wewe uliyeficha ukweli. Peleka taarifa zako polic nasio kuja kuposti hapa mara ukerewe mara sijui niniNdg life is Short naona unajitahidi kuhoji kwa hisia kutetea "innocency" ya hiyo dini yako. Waislamu wanaoongea kama wewe muda huu naomba wanijibu maswali haya: mlikuwa wapi muda wote wakati mbegu ya chuki inapandwa????? wapanda chuki mbona walitumia mihadhara ya kidini na misikiti hiyo hiyo? Wewe na wenzako mnaotaka mjulikane sii kati ya hao unaowaita eti "wachache", mmetoa ushirikiano gani ili kufichua magenge na vituo vya mafunzo ya kigaidi vilivyotapakaa nchini - Tanga, Same, Arusha, Ukerewe na kwingineko??? Mbona hatujawahi sikia mseme hayo mafunzo ya ugaidi mnayalaani? Mbona hamjawakana hao waliokuwa wanawapandikiza chuki? Ninapokosa majibu ya maswali haya nawaona ni WANAFIKI TU!
Ndugu yangu hatuwezi kuchukulia kwamba Waislamu woote ni wauwaji no!!
Kwa sababu wao wanaabudu dini kwa upeo wa kujua ni Mungu, si Mungu wakuuwa watu!! Huku vijijini na mijini tunaishi na ndugu waislamu tena ni wajomba shangazi, majirani hawana hiyo roho kuuwa watu!!
Sasa kuna watu kama Sheikhe Ilunga na kina Ponda wanapandikiza roho ya kuuwa watu kwa intrest zao, wala si dini kama Alqaida!! Ukiangalia kwa makini hata huko kwa serikali za kiislamu kama Iraq, Saudia, Misri watu wanauwana na ni dini moja!!
Hapa kwetu Tanzania tusikubali kuchonganishwa eti ni dini ya kiislamu ndio inaleta mauwaji, kusudi tukosane!!
Lengo la wauwaji ni kutaka tukosane tuingie kwenye vurugu, wanapandikizaji mbegu ya chuki, wanaleta uongo kwa kuleta kanda wanazouza na serikali inaziona kwenye vibanda, eti wawauwe makafiri wananyamaza!!
Matokeo ya uchochezi ndiyo hayo sasa, wamepata na mlango kuingia na kuuwa watu Mkuu anatangaza muuwaji mmoja mkristo eti tuamini wakristo waliusika , sawa lakini tujue kabisa kuna roho ya uchochezi!!!
Mbona kuna vituo vya madrasa wanafundisha kareti usiku na mchana hawachukuliwi hatua zozote, au kuna jeshi jipya limesajiliwa kwenye baadhi ya misikiti,na ni la nini hasa???
Hata ndugu zangu Waislamu tusikubali kupandikiziwa mbegu za chuki na uadui eti kuna makafiri, lazima tutumie akili kufikiri, mbona hawa makafiri tuliishi nao siku zote kuna nini sasa hadi tuwauwe???
Mungu huyo tunayemwabudu amebadili uelekeo, ameamua kumwaga damu sasa, tujiulize???
Nahisi ni ww pekee tu (if not acting) ndo utakuwa mgeni na picha hiyo cozi imesharudi hapa jamvini na FB time immemorial. Kwa kifupi hao walikuwa wakristo wanasali kanisani huko Nigeria wakavamiwa na kikundi cha magaidi wa kiislamu kiitwacho BOKO KHARAM na wakatendewa ukatili huo kwa jina la Allah anayeaminika ku Mungu na anayewatuma wamfanyie kazi hiyo. Saaa hivi vikundi vya waislam vya aina na nia ya Boko Kharam vimeundwa vingi na sehemu nyingi Tanzania na ndiyo vimeanza kutekeleza kazi ya huyo Allah! Vinafadhiliwa na waatabu fulani kupitia viongozi wa kuu wa nchi ambao ni waislam. Ndiyo maana serikali imekula ganzi tu. umeelewa sasa?
Ndiyo maana tunaposhuhudia haya yanatendwa dhahiri na waislamu halafu ww unaniimbia ngonjera ya UNDUGU yaani napata moto kishenz, maana hizo ni kejelii. Natamani sijui nikuoneje live ili nipunguze pressure!
Sioni similarities ktk matukio mawili unayoyazungumzia zaidi naona unaonesha ujinga wako. Polisi wanawashikilia hao Waarabu kwa sababu za uchunguzi sasa sijui wewe kwa akili yako ulitaka wamshikilie nani? Mama yako alikuwa around pale?
Sioni similarities ktk matukio mawili unayoyazungumzia zaidi naona unaonesha ujinga wako. Polisi wanawashikilia hao Waarabu kwa sababu za uchunguzi sasa sijui wewe kwa akili yako ulitaka wamshikilie nani? Mama yako alikuwa around pale?