Victor Ambrose ndie aliyerusha bomu kanisani !

Victor Ambrose ndie aliyerusha bomu kanisani !

Kumbe upelelezi umeshakamilika? Maana kumtaja mmoja wa watuhumiwa kwa jina kama ni Victor Amrose na kuwaficha wengine kwa madai kuwa kunaweza kuharibu upelelezi kunazua maswali.
 
Serikali bana! Imekamata watuhumiwa tisa, lakini jina lililotajwa ni moja! Ha ha haa, mwenye akili jiulize!

Mkuu Ambrose ndiye aliyerusha bomu Kanisani.

Wewe unataka wasimtaje wakufurahishe wewe au ulikuwa unatamani usikie Muislam ndiyo karusha bomu.

Tafakari...
 
The Fxer sakramenti imeingiaje hapa? unatoa mapovu kumbe unasumbuliwa na udini? wavaa kanzu bana utawajuatu.
 
Wana JF,

Hata hivyo, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo, alisema waliokamatwa wamefikia 10, na raia hao wa nje ni wa Saudi Arabia.


Akielezea tukio hilo, Waziri Nchimbi alisema lilirushwa wakati mgeni rasmi, Balozi wa Vatican nchini na Mjumbe wa Baba Mtakatifu, Askofu Fransisco Padilla, akiwa ametoka nje ya kanisa akijiandaa kukata utepe kama ishara ya uzinduzi.


Alisema viongozi wa dini na Serikali waliohudhuria ibada hiyo, hawakupata madhara yoyote kutokana mlipuko huo. Udini Amewasihi Watanzania kuwa watulivu wakati vyombo vya dola vikiwasaka walihusika na shambulio hilo.


Source: Habari leo

The Fixer,

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ukiunganisha kukamatwa kwa wasaudi hawa walioingia nchini siku moja kabla ya tukio na Ambrose inaonyesha kuwepo kwa mawasiliano ya muda mrefu. Kujua siku ya uzinduzi na mgeni mwalikwa.
 
Kumbe upelelezi umeshakamilika? Maana kumtaja mmoja wa watuhumiwa kwa jina kama ni Victor Amrose na kuwaficha wengine kwa madai kuwa kunaweza kuharibu upelelezi kunazua maswali.

Mkuu leo hii unasema upelelezi utaharibika, Lema anasema CCM wanahusika vipi hapo upelelezi haujaharibika?
 
Bhati mbaya ndugu yangu Highlander huongei na "mtu" ingawa anaweza akawa ni "binadamu"!

Sasa mbona wewee Binadamu mwenye heri , Uliyebarikiwa humjampeleka mtuhumiwa yoyooote mbele ya vyombo vya Usalaama ?

Unatokwa na povu bureee Binti !
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ambrose ndiye aliyerusha bomu Kanisani.

Wewe unataka wasimtaje wakufurahishe wewe au ulikuwa unatamani usikie Muislam ndiyo karusha bomu.

Tafakari...

Kumbe jina la mtu ndo uislamu au ukristu wake? Je Ambrose ametajwa dini yake?
 
Huyu victor katumiwa tu kama veil...i mean kama kitambaa cha kufunika ukweli halisi......Jina hila yawezekana kabatizwa bila hata ya maji, au kahongwa ili akubali kuwa kahusika....but mmmmhhhhh.......................:sad: I am very sad kwa kweli....nchi inaenda bila uelekeo!!!
Ee Mungu tuongoze kwani viongozi wetu wa nchi wamepofuka na wala hawaoni njia wanayopita.........
 
siku za karibuni kumekuwepo jitihada kubwa sana za watu wachache wasiyoitakia mema nchi yetu kutaka kupandikiza chuki za kidini miongoni mwa watanzania na kuleta mapigano na mauaji miongoni mwa watanzania, sina shaka kuwa shambulio la Arusha ni sehemu ya mikakati hiyo miovu. Nataka niwahakikishie Watanzania kuwa Serikali haitavumilia hata kidogo mbegu za chuki za kidini miongoni mwawatanzania na tutachukua hatua kali bila huruma kuzigandamiza njama hizi mbaya dhidi ya taifa letu.
Serikali kamata weka ndani maisha yao yote.
Tanzania yenye amani inawezekana.
 
Kwahiyo kumtaja Mtuhumiwa kuwa ni Victor Ambrose ni Usenge ! Sawa bhanaaaa... Mie nakubali matusi yako maana yanatoka kwenye kinywa cha mtu aliyekula sakramenti ya Ubishi !

Ulitaka kusikia kuwa mtuhumiwa ni Ally Mohammed ili UFURAHIII.....!

Kwani Ally Mohammed hawezi kuwa Mkristo?
 
Watanzania kuna watu wanatuchonganisha maana wadau wengi hawakutaka kusubiri ukweli na walichotaka wao ni Sheikh Ilunga tu akamatwe kana kwamba Sheikh Ilunga ana ugomvi nao !!

Baada ya kusikia ni Victor wameshakaa kimyaaa !

Kwanini alivaa kanzu ? Ili iweje ?

Mkuu Fixer wewe ni mdini tunakufahamu na hivi majuzi umerusha thread ya kizushi ya kusema wakrito wamekosa ruzuku ndo maana wana bifu na serikali. Hatukuamini kujidai leo una wahurumia wakristo" huo wema umetoka wapi" Wewe na sheikh Illunga naamini mmefanya part ya kugosheana glass wakati wenzetu waliokufa wakipigwa na baridi mochwari.
 
Acha u*enge wewe, kwani
kuitwa Victor ndiyo nini? Una hakika ndo jina lake halisi? Unajua watu
huwa wanakodiwa wakafanye uhalifu? Unajua aliyemtuma? Unajua njaa
inaweza ikakufanya ukaua hata baba yako mzazi? Umeshamhoji akakwambia
alitoa wapi hilo bomu? Ameshakwambia aliyemtuma? Ameshakwambia
aliahidiwa nini? Umeshajiuliza katika hao tisa waliokamatwa kwa nini
wametaja jina moja tu; kwani hao wengine hawana majina? Acheni kutuletea
hoja za kututia hasira hapa! Nyambafu!

"great thinker"
 
Kwani Ally Mohammed hawezi kuwa Mkristo?

Kutajwa kwa Ambrose kumewahuzunisha sanaaaa wachonganishi wa UDINI - Tanzania hii !

Sitaki kuamini hata hao Wasaudia kama kuna mtu hapa atathubutu kuhoji hao watu ni dini gani !

Narudia tena kuwauliza ninyi ma Great thinker mngesikia kuwa Mtuhumiwa ni Ally Mohammed mmengohoji na Dini yake kweli ? Au ndio mngechora mstari ?

Tunakoelekea ni kubaya sanaaaa....
 
Waziri Nchimbi asitumie lugha ya vitisho, heri ya wanasiasa watakao tafuta umaarufu kwa kusema ukweli kuliko kiongozi atakayetumia mabavu,vitisho,na kujivunia madaraka aliyopewa na wananchi kufunika ukweli.

Nchimbi alitakiwa atangaze kujiuzuru wadhifa wake kama dalili za uwajibikaji na siyo kutishia watu.Matatizo haya ya udini yamelelewa na viongozi wetu, makanisa yamechomwa, wachungaji wameuawa serilali imekuwa na kigugumizi cha kulishughulikia swala hili. Sasa si wakati wakutafuta mahali ambapo kamba ni mbovu pa kukatikia.
Nguvu mnazotumia kukamata wabunge k.m Lema zingekuwa zinatumika akudhibiti uhalifu nadhani kungeonekana kitu kinafanyika.
Si chuki nchi yangu wala serikali yangu lakini nachukia viongozi wababaishaji ambao wametumia mbinu fedha lukuku kuingia madarakani na leo wanatusababishia matatizo ya haya, kwani nia yao ya kununua uongozi haikiwa na lengo la kuwatumikia wananchi bali waliingia kwa malengo yao binafsi, wengine wameliibia taifa hili na kufanya vitendo vingi viovu hivyo kichaka cha kujifichia ni kununua uongozi.

nimeaandika maneno haya kama mtanzania,sishabikii siasa za wana siasa kwani mimi sina chama chochote ambacho mimi nimejiunga nacho,nasema hivyo kwani mara zote mtu akiwakosoa viongozi kwa vile watawala wetu wanatoka CCM huonekana ni mpinzani wa CCM mimi sipo huko.

Nawashauri wanachi tunapojadili maswala ya nchi tuweke utaifa kwanza badala ya siasa uchwara za vyama vyetu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Serikali bana! Imekamata watuhumiwa tisa, lakini jina lililotajwa ni moja! Ha ha haa, mwenye akili jiulize!

...Asante Sana Mkuu kwa nawe Kuliona Hili! Sinema Ndio inaanzia hapo. Nimeshangaa sana Waziri Mzima anajua ni Watu TISA wamekamatwa kwa Tuhuma, lakini anakimbilia kutaja jina la Mtuhumiwa MMOJA tena ambaye Jina lake linaendana endana na Madhehebu ambayo Jengo lake Limetupiwa Bomu!!! Yaani Full Usanii kwa Kwenda Mbele..! Kweli akili za Mbayuwayu Changanya na za Kwakoo...!:angry:
 
Victor am unda lini ura iki na wasau arabia?na victor akibanwa lazima awataj lisu,l ma na lwakatar natabiri. Kuna gaidi tuliony shwa picha mwakajana bu ahojiw juu la hili pia M23
 
Watanzania kuna watu wanatuchonganisha maana wadau wengi hawakutaka kusubiri ukweli na walichotaka wao ni Sheikh Ilunga tu akamatwe kana kwamba Sheikh Ilunga ana ugomvi nao !!

Baada ya kusikia ni Victor wameshakaa kimyaaa !

Kwanini alivaa kanzu ? Ili iweje ?


...Unamjua James Hadley Chase? Moja ya vitabu alivyotunga ni kile cha 'Believe This and You Will Believe Anything...'

...Ndugu yangu; Believe This and You will Believe Anything...!'
 
Kutajwa kwa Ambrose kumewahuzunisha sanaaaa wachonganishi wa UDINI - Tanzania hii !

Sitaki kuamini hata hao Wasaudia kama kuna mtu hapa atathubutu kuhoji hao watu ni dini gani !

Narudia tena kuwauliza ninyi ma Great thinker mngesikia kuwa Mtuhumiwa ni Ally Mohammed mmengohoji na Dini yake kweli ? Au ndio mngechora mstari ?

Tunakoelekea ni kubaya sanaaaa....

Je jina ndo dini ya mtu?
 
Huu wote ni Uchochezi wa viongozi wa CCM sasa kwa nini atajwe mtu mmoja mwenye jina la Ki-kristo wakati kuna wale wasaudia hawajatajwa kabisa huo ni Uchochezi wa CCM na Serikali yake ili kuficha madhambi yao kwa Watanzania sera zao za UDINI ndiyo chanzo wa si kingine chochote.
Kumtaja mtu mmoja tu wakati kuna wengine hilo ni CHANGA LA MACHO serikali inataka kuficha jambo.
Ilunga ameliharibu taifa
 
Tunasubiri, Kama tulivyouwawaaa mwembechai na Zanzibar ! Tunasubiri na tumejipanga vizuri kwa uonevu wowoote this time and next time vilee vileee

una maana gani wewe!!?
je wewe ni sehemu yao hao,au una maana gani hapo!umejipangaje?kufanya nini?
 
Back
Top Bottom