Mkubwa.......... naona umetukana watu KINYERERE ................. naipenda JF...............Unajua nini eeh?
Mpaka dakika kwanza hujaleta source, I mean authentic source ya thread yako. Yaani hii ni comical thread sop far na nashangaa mods kwa nini bado hawajaiwahisha kule kwenye jokes na utani. Kwa kuzingatia hili basi nadhani si busara kwangu kuendelea kuweka input ktk thread muflisi kama hii.. Endelea kubadilishana mawazo na hawa akina Pape maana inawezekana mpo level moja ya ufahamu.
Wasalaam
Bila shaka hata tukisema ma founder wa hii forum wamefanya kitu kizuri utakataa,coz wewe unaonekana ni mchawi uliye komaa,yani una jealous kiasi kwamba shetani anaichukia,acha tabia za kichawi wewe!!Sasa wameula nini?
Bila shaka hata tukisema ma founder wa hii forum wamefanya kitu kizuri utakataa,coz wewe unaonekana ni mchawi uliye komaa,yani una jealous kiasi kwamba shetani anaichukia,acha tabia za kichawi wewe!!
hard to believe this is coming from you...........griti thinkaati na wewe ni great thinker ?? Shame! No wonder watu kama nyinyi jk anawaita wafuata upepo..yaani mpo tu akili ya kuku..hata hujui una-respond nini, poor thing.
Yaani mtu akipata post fulani ndo kuula?! Kazi ni utumishi na ni sehemu ya m aisha ya binadamu, ila kwa sababu ya wapumbavu kama wewe, mtu akipata kazi anataka ku-capitalize kwa kuvuna na kujineemesha hata kama ni kwa kukwiba na kufanya forgery..maana hivyo ndivyo mlivyozoezwa kwamba ukipata fursa ya kazi fulani ni wakti wa kuketi kivulini na kula vinono.
Nway, i am saving my fingers to explain things to 'great sinker' like you.
Kuna tetesi kwamba Vicky Mtetema kapata U-country Director wa shirika moja linaloshughulika na haki za Ma-ailbino - Under the Same Sun, lenye makao makuu nchini Canada!
Tetesi zaidi ni kwamba Flora Nducha kapata head office UN- New York kama UN Head of Information and Communication/Swahili.
Kama tetesi hizi ni kweli, bila shaka ni pigo kwa BBC kwani Vicky ndo alikuwa boss wa BBC Tanzania.
Hat hivyo hongereni akina mama mnaipaisha TZ yetu japo ufisadi ushatupaisha zaidi.
Mkuu ukeshajua kabila lao ndiyo utawapongeza na kuwatrakia kila la heri? Naomba unieleweshe kabila lao linahusiana vipi na nafasi mpya za kazi walizozipata.Hao uliowataja wana asili ya makabila gani ?tunaomba utupatie makabila yao.
Mkuu ukeshajua kabila lao ndiyo utawapongeza na kuwatrakia kila la heri? Naomba unieleweshe kabila lao linahusiana vipi na nafasi mpya za kazi walizozipata.
Flora Nducha kweli kabisa, maana aliaga wasikilizaji wake wa BBC wiki iliyopita, huyu Vicky Ntetema sina uhakika naye. Flora alisoma BA (Political Science) milimani alikuwa nasoma na jamaa mmoja nafikiri alikuwa boyfriend wake anaitwa Deo Mshigeni na walihitimu mwaka kati ya 1997 au 1998, maana kipindi hicho ndiyo siye akina yekhe tunaanza chuo.
Unajua nini eeh?
Mpaka dakika kwanza hujaleta source, I mean authentic source ya thread yako. Yaani hii ni comical thread sop far na nashangaa mods kwa nini bado hawajaiwahisha kule kwenye jokes na utani. Kwa kuzingatia hili basi nadhani si busara kwangu kuendelea kuweka input ktk thread muflisi kama hii.. Endelea kubadilishana mawazo na hawa akina Pape maana inawezekana mpo level moja ya ufahamu.
Wasalaam
Some people do not know what it means by TETESI...........Are you really a GRITI THINKA kama unavyopenda wanaJF waku-categorize that way???
Source ya nini kwanza nimekwambia ni TETESI???? Ok basi source ni kaunta, Mwajuma bar, Yombo Vituka! Si unataka source ya TETESI?????? na ya Breaking news je ? Wewe ulikuwa darasa la VIIB au VIIC, au umebobea zaidi kwenye kuruani?
Mimi na wewe nani mwenye mawazo mufilisi? You are just talking the talk!
Ati na wewe ni Great Thinker ?? shame! No wonder watu kama nyinyi JK anawaita wafuata upepo..yaani mpo tu akili ya kuku..Hata hujui una-respond nini, poor thing.
Yaani mtu akipata post fulani ndo kuula?! Kazi ni utumishi na ni sehemu ya m aisha ya binadamu, ila kwa sababu ya wapumbavu kama wewe, mtu akipata kazi anataka ku-capitalize kwa kuvuna na kujineemesha hata kama ni kwa kukwiba na kufanya forgery..maana hivyo ndivyo mlivyozoezwa kwamba ukipata fursa ya kazi fulani ni wakti wa kuketi kivulini na kula vinono.
Nway, I am saving my fingers to explain things to 'great sinker' like you.