Huyu Nikupateje ni mamluki wa kutoka wapi?
Kwanza katika suala la mtu kupata kazi huwa hatuna budi kupongezana,pili hawa ni watanzania wenzetu wanahitaji kupewa moyo ili wakatekeleze majukumu yao ipasavyo wether yanainvolve tanzania au kokote kule but what matters most ni kufanya unachotakiwa kufanya ipasavyo kwani hii yaweza kuwa ni jumping step kwao kupewa higher positions
huyu jamaa anaonekana mevishwqa kasumba za kuami ni watanzania hawawezi vitu
toka zako hapa!!!
Join Date: Tue Dec 2009
Posts: 3
Thanks: 1
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Karibu sana kijiweni, Nikupateje.
Nyinyi ndiyo wale ambao mlituona mamluki tuliposema barafu ya mlima Kilimajaro imepungua na huenda ikaisha. Mlileta hoja hafifu kama mnazoleta sasa mkisema tunapoteza pato la utalii.
Leo hii nyienyie ndiyo mnakimbizana Copenhagen (Sweden) kujifanya kushiriki climate change summit na sanasana mmetuletea msemo mpya wa kiswahili neno tabianchi.
Kumbe kuthibitisha upumba wa mtu ni mtihani mgumu hata kwa mwenye idadi kubwa ya post! Sasa huwa mnapost nini!Pumba tupu!
Au ndo style ya kuongeza posts?
Mjaluo Laira Oginga alitushangaa akaja na mbinu ya kutubembeleza huku akijua weakness yetu akisema tusiwaogope Wakenya lakini hakufanikiwa kwani mliwaogopa kama ukoma wote walio hug hiyo idea.
Warundi na wanyarwanda pamoja na udogo wao waliwashangaa lakini kwa vile walitaka na wao wawemo hawathubutu kusema neno. Subiri quoram yao itimie miaka ijayo uone kama watawasubiri au kuwabembeleza.
Watawashiti na nyie mbaki mnapigizana kelele na wale wenzenu mnaopenda kuitana nyinyi ni nchi au siyo nchi.
Nyinyi ndiyo wale ambao mlituona mamluki tuliposema barafu ya mlima Kilimajaro imepungua na huenda ikaisha. Mlileta hoja hafifu kama mnazoleta sasa mkisema tunapoteza pato la utalii.
Leo hii nyienyie ndiyo mnakimbizana Copenhagen (Sweden) kujifanya kushiriki climate change summit na sanasana mmetuletea msemo mpya wa kiswahili neno tabianchi.
Ndo kuonesha ufundi wako wa kukaa vijiweni na kwamba uko "INFORMED"????????? Why meandering like a river on a flood plain?
You are completly jumping the gun MAN! Au ndo pre-maturity yako hapa JF. Speed yako ulokuja nayo inakuponza! Soma thread inahusu nini na uielewe, usikurupuke kama cha k****a!
Hapa JF ni sehemu ya kupashana habari na kuelimishana! Kuna breaking news, tetesi na kadha wa kadha! Nilipopata tetesi ya hawa madada kupata hizo nafasi (Japo unazibeza), nikaona si budi nizilete hapa jamvini1 Wengi wenye uelewa wamefurahia habari hizi na kuwapongeza madada hawa ikiwa ni pamoja na kunigongea THANKS kibao. Sasa sijui wewe na wenzako wenye mlengo mfanano mnaona gere ama?
Kudhani kwamba kuwa na post mbili kwenye JF ni immartulity ni kufikia kiwango cha juu cha immartulity kwani online forum duniani ziko maelfu kwa maelfu na anayeingia JF leo hujui ana uzoefu gani huko alikopitia.
Ungekuwa na uwezo wa kusoma thread yangu in depth na ukajua intention yake usingeishia hapo. Inawezekana ukaona nimeponda. Lakini je lengo langu kwa watanzania umeliona ni nini? Lengo langu ni tuwe competitive. Basi.
Nahisi unamaanisha blogspots ambazo hata mimi ninazo zaidi ya moja! Na juzi nimemfungulia Mwanangu, karibu uchangie pia!
Nafikiri nilieleza mwanzo kwamba "hata mwenye chongo ana nafuu kwa kipofu"!
Sasa kama ni suala la watanzania kuwa competitive, huoni hawa atleast wamejitahidi japo kwa nafasio hizo walizopata? Au hata na zenyewe hazifai? After all, haikufanyika competition hapa, wamechaguliwa baada ya kuona wanafaa! Najua utasema etis Oh, Flora anajua Kiswahili so you expected it to go without saying, lakini je wanaojua Kiswahili wapo wangapi? Why not wewe au mimi?
Sina matatizo na blogu ya mwanao ambayo heunda sakafu ya server yake inasafishwa na kina "dada" wa Iringa ambao umeshangilia status yao.
Ni kweli ulisema mwenye chong ana nafuu. Lakini na mimi nilisema jamaa wote wanaojifanya wana maendeleo tuliwa-beat vyuoni. Tuliwatambia shuleni lakini mtaani wanatutambia. Hiyo akili wameitoa wapi?
Architecture tunayosoma ni ileile tunayowashinda University. Iweje tunaowashinda darasani waje kutujengea daraja la Mkapa wakati shuleni tulisoma wote principle za daraja zaidi hata ya la Mkapa.
Mimi sikubaliani na sababu zozote za kudhani Tanzania tuko kihivyo. Narudia tena na tena tunastahili nafasi kubwa tena za kitaalamu duniani. Hapo ndipo tunapotakiwa tuanzie.
Sikubaliani na nafasi mbili tatu kutonyesha wanatujali interational-wise wakati haohao siku zijazo watasema si kwa sababu mnajua kiswahili na maeneo ya umasikini.
Ni mtanzania mpuuzi tu ambaye hakumshangilia Profesa Tibaijuka. Leo unaona wanavyomfanya Tibaijuka kana kwamba hata uprofesa hana. Mama wa watu anaishia kulia moyoni na kuyakubali yaishe.
Je, walichomfanyia Tibaijuka wangeweza kukifanya kwa nchi inayojulikana ina wataalamu kibao katika international forum. Hata wangefanya tahadhai ingekuwa ni kubwa.
Kama hulioni hilo basi endelea kuniita mamluki na wala haitamsaidia yeyote. Kiwango cha elimu tulichosoma ndani na nje ya nchi hakipaswi kuwa tulipo kwamba tupewe pipi wakati wenzetu wanapewa helikopta katika uwanja uleule.
Inawezekana hapa ndipo ninapotofautina na ndiyo maana ninakuwa muangaliafu kushangilia. Najua tunanyanyasika na nilitegemea tujadili chanzo cha kunyanyasika huko.
Imefika mahala hata kazi za ndani ikitangazwa kwamba sasa tender zake zinatangazwa internatinaly tunatetemeka kama si kupiga kelele. Huoni kuna haja ya kulijadili hili kwa undani?
Kuhusu suala la sisi tuko wapi kimataifa? Umasikini wetu, nafasi yetu na suala la Dr. Anna Kajumulo Tibaijuka, yote yalishajadiliwa hapa JF! Na hapa ndio utofauti wetu ulipo! Thread yetu hapa ilikuwa ni kuwapongeza hawa madada! Mijadala yako ni mipana mno na inahitaji separate thread otherwise you will keep jumping the gun, and if so I completly give you a cold shoulder and that's why I fail to get a long with you like a house on fire, despite of forcing a leopard to change its spot by giving me benefit of doubts like pinpointing Dr. Tibaijuka!
Kuna tetesi kwamba Vicky Mtetema kapata U-country Director wa shirika moja linaloshughulika na haki za Ma-ailbino - Under the Same Sun, lenye makao makuu nchini Canada!
Tetesi zaidi ni kwamba Flora Nducha kapata head office UN- New York kama UN Head of Information and Communication/Swahili.
Kama tetesi hizi ni kweli, bila shaka ni pigo kwa BBC kwani Vicky ndo alikuwa boss wa BBC Tanzania.
Hat hivyo hongereni akina mama mnaipaisha TZ yetu japo ufisadi ushatupaisha zaidi.
Cheerz Nikupataje, mwenzio nakunywa Serengeti ya moto, tena ndogo bila glass (Siunajua glass zetu za uswazi)! Karibu jioni Nyamachabez Tegeta nitakuwa na Mpwa wangu Crispin! Nimependa challenge zako mkuu esp ulivyoidadavua thread yangu hapo mwishoni mwa post yako! Cheers once again!