Katikomile
JF-Expert Member
- Jul 12, 2007
- 471
- 74
safi sana!Kuna tetesi kwamba Vicky Mtetema kapata U-country Director wa shirika moja linaloshughulika na haki za Ma-ailbino - Under the Same Sun, lenye makao makuu nchini Canada!
Tetesi zaidi ni kwamba Flora Nducha kapata head office UN- New York kama UN Head of Information and Communication/Swahili.
Kama tetesi hizi ni kweli, bila shaka ni pigo kwa BBC kwani Vicky ndo alikuwa boss wa BBC Tanzania.
Hat hivyo hongereni akina mama mnaipaisha TZ yetu japo ufisadi ushatupaisha zaidi.
...Sijui ni uvivu wa kusoma au wivu binafsi?Sasa wameula nini?
Flora Nducha alisha-resign hata kazi BBC na anatakiwa kuanza kazi yake Mpya radio ya umoja wa mataifa haraka. Mdada yuko vizuri katika fani, Vicky Mtetema sina uhakika naye pia kama mambo yake safi nampogeza na kumtakia kheri na baraka!! Ni changamoto kwa watangazaji wengine wa kike kujifunza kwao na hatimaye kufikia mafanikio yao..
...Sijui ni uvivu wa kusoma au wivu binafsi?
We maimatha wa jethe.. umiithikia hiyoooo........ We dida.......we dina.......... we kinyaiya........... we gea habibu........... we suzi..........mngejisikiaje kama tetesi hizi zingekuwa zinawahusu nyie moja kwa moja....??? Badilikeni.......Kuna tetesi kwamba Vicky Mtetema kapata U-country Director wa shirika moja linaloshughulika na haki za Ma-ailbino - Under the Same Sun, lenye makao makuu nchini Canada!
Tetesi zaidi ni kwamba Flora Nducha kapata head office UN- New York kama UN Head of Information and Communication/Swahili.
Kama tetesi hizi ni kweli, bila shaka ni pigo kwa BBC kwani Vicky ndo alikuwa boss wa BBC Tanzania.
Hat hivyo hongereni akina mama mnaipaisha TZ yetu japo ufisadi ushatupaisha zaidi.
Sasa wameula nini?
We maimatha wa jethe.. umiithikia hiyoooo........ We dida.......we dina.......... we kinyaiya........... we gea habibu........... we suzi..........mngejisikiaje kama tetesi hizi zingekuwa zinawahusu nyie moja kwa moja....??? Badilikeni.......
Kuna tetesi kwamba Vicky Mtetema kapata U-country Director wa shirika moja linaloshughulika na haki za Ma-ailbino - Under the Same Sun, lenye makao makuu nchini Canada!
Tetesi zaidi ni kwamba Flora Nducha kapata head office UN- New York kama UN Head of Information and Communication/Swahili.
Kama tetesi hizi ni kweli, bila shaka ni pigo kwa BBC kwani Vicky ndo alikuwa boss wa BBC Tanzania.
Hat hivyo hongereni akina mama mnaipaisha TZ yetu japo ufisadi ushatupaisha zaidi.
usiwe unakurupuka wewe..Sasa wameula nini?
Asante kwa kumuweka sawa!...Sijui ni uvivu wa kusoma au wivu binafsi?
Nilitegemea uulize kuula maana yake nini!
Mtu alikuwa just a presenter, anaenda kuwa Head tena UN, bado unauliza vumbi stoo Abdulhalim?????????????? Au wivu mkuu? Officemate nini?
Hawawezi badirika hao kwani hapo walipofikia ndio mwisho wa reli wakipaishwa ngwasuma wanjiona ndio wafalme,pia zile free pass zinawadanganya na pia misifa isio na maana eti wanapopita mitaani wakikopa vi SUV basi hapo lah ndio masupastaa ,wasome wachekweWe maimatha wa jethe.. umiithikia hiyoooo........ We dida.......we dina.......... we kinyaiya........... we gea habibu........... we suzi..........mngejisikiaje kama tetesi hizi zingekuwa zinawahusu nyie moja kwa moja....??? Badilikeni.......
Kwa jinsi walivyo leo hii........ SIWEZI......... ili niweze nawahitaji wabadilike..........mkuu ukiwa na chombo kinachoheshimika kimataifa unaweza kuwaajiri hao uliowaorodhesha?