Vicky kamtata na kuku wa mfalme. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vicky kamtata na kuku wa mfalme.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HGYTXK, Oct 26, 2011.

 1. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hellol wana JF, nimebahatika kuuona na kuusikiliza wimbo mpya wa dada yetu Mh. MB. Vicky Kamata unaoitwa Kuku wa Mfalme.Ki ukweli mwenye akili na anayetasmini kwa kikina atagundua kuwa dada yetu tayari keshaanza kampeni za kuwasafisha watu fulani fulani kwa maslahi yake binafsi, anasema ktk moja ya verse ya wimbo huo kwamba yy tayari keshapewa msamaha na mfalme kutokana na wizi wa kuku alioufanya hivyo asikilizi tena kelele za watu na anachokumbuka yy ni msamaha tu na ata hiyo radha ya kuku kaisahau maana aliiba zamani sana,hiki ndicho wasanii wetu wanachokijua,kutumiwa na viongozi kwa maslahi binafsi na baadae kutupwa kama Kondom iliyotumika.Enyi wasanii umizeni kichwa kwa mambo ya maana na sio kuburuzwaburuzwa kwa vijisenti ambavyo vyaweza kuwatokea puani huko mbeleni.  Nwasilisha.
   
 2. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Samahani waungwana,heading yanngu inabeba jina la VICKY KAMATA na sio KAMTATA.Ni makosa ya kiuandishi.
   
 3. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nadhani anatumia sana sehemu zake za siri kuliko hayo mashairi. ni smoke screen tu hiyo!
   
 4. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,728
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  haya mambo haya mshiko elezea maana halisi
   
 5. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,410
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wataimba sana lakini hukumu ya Watanzania itakuwa ya mwisho.
   
 6. M

  Mwadada Senior Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ni kweli Nnyambwate.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  unajuaje kama ni siasa na sio kuiba waume za watu?
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thanks Mkuu,

  siajabu hapo anazungumzia wamume za watu pengine aliolala nao au hata kuzaa nao

  sio kila kitu ni 2015
   
 9. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Fumbo mfumbie mjinga mwerevu ataling'amua. Tafsri hii hapa,anamaanisha kuwa mkulu wa kaya alikuwa anamlamba zamani na mama wa namba moja akaligunaua hlo.Mama nambari one akamkoromea vic vibaya aache kuvinjari na mwandani wake.Vic akaomc msamaha kwa mama nambari wani akasamehewa na ishu ikawa imeisha kiutu uzma.Saa anatamba hasikilizi kelele zetu
   
 10. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Video zake huyu dada huwa naona anaonyesha lipsit zake,sura na hips alizonazo tu. Embu mtujuze,kwani hajaolewa tu huyu dada toka enzi zile alikuwa anamuibia Amina Chifupa mme wake mpaka lilizuka bifu?
   
 11. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mama Salma upo hapo?
   
 12. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Ndo ubaya wa nyimbo za mafumbo, kaiba mme wa mtu wamemgutukia anakuja kivile
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,797
  Trophy Points: 280
  kama hii ni kweli labda ndiyo maana wanaumme wanamwogopa asiwapeleke waliko akina chifupas..........ahera..............inatisha hii khali....
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,797
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,797
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Yeye amesema kuku, hayo mengine ni yenu.
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,797
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ana mtoto wa mkulu,
   
 19. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,797
  Trophy Points: 280
  hajasema hivyo..........yeye kasema hakumbuki kuku ila anakumbuka msamaha na hakumbuki ladha ya kuku aliyemwiba......................kuku aweza kutoa msamaha........................................hilo ni fumbo.........................ya kuwa yeye anashindwa kuelewa ya kuwa pamoja na ukweli kuwa alimwiba mume wa mtu mfalme kesha msamehe......sasa mke kwa nini bado kamshikia bango?.............kumbuka kuna wakati uwt............walimpiga stop kuingia kwenye jumba kwa madai kazidi kuwatafunia waume zao.........
   
 20. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,797
  Trophy Points: 280
  hapo ndipo kwenye noma.............................anadai hata ladha ya huyo mume wa mtu kesha isahau iwaje leo mke wake anamfanyia fitina hadi asiingie bungeni..........kujaza ile nafasi iliyokujachukuliwa na Dr. mchungaji...............
   
Loading...