Wimbo wa Vicky Kamata "Sikumbuki kuku" una maana gani?

Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
2,064
2,301
Wana JF nawaombeni kuelewa fasihi iliyotumika kwenye wimbo huu. "Mfanyakazi kaiba kuku jikoni kwa mfalme. Wenzake wakamsakama. Akaona heri ajisalimishe kwa mfalme na kuomba msamaha. Akasamehewa. Wafanyakazi wenzie walipoendelea kumsakama akawambia kama mfalme keshasamehe nini tena". Swali hivi kuku na mfalme ni akina nani?
 
hehehehehehe,asiye juwa maana haambiwi,mbona ipo wazi sana,yaani hata ubunge wake haukupi maana kamili ya msamaha?
 
Ni wimbo tu shusheni pressure'

weeeee bana,
mpaka ameamuwa kuimba juwa kuna jambo,eti ana dai hata ladha hakumbuki alikula kuku zamani hehehehehehe,mnatuaibisha kina dada mnajirahisisha sana matokeo yake ndio hayo sasa inabidi utunge nyimbo ili kuweka mambo sawa,
katika nyimboo hii nimepata jibu nililokuwa najiuliza tangu zamani sasa nimeamini kuwa yaliyosemwa ni ya kweli

huyo kuku na mfalme
 
mbona mnamsakama mrembo wa watu?hali akashiba jamani!
hata mfalme amesamehe nyinyi pilipili msozila zinawawasha nini?
 
Nafikiri anakili mambo mengi machafu aliyofanya hapo zamani ambayo yalikuwa hayampi raha kila akipita watu walikuwa wakimsema. naona baada ya kujifikiria akaamua kuokoka na kuachana na yale matendo mbaya ambayo sasa hayafanyi tena na anatumaini mungu amemsamehe...
 
Huu ungependeza zaidi kuwa wimbo wa Dini.

Kuku iwe Dhambi, Mama mwenye dhambi aliyetubu, Jikoni ni Duniani, Wanaohukumu ni Wanadamu Wanaomuona Mama ni Mkosaji kwa uovu mwingi alioutenda zamani,na Mfalme ni Mungu!!
 
PHP:

She is a multifaceted, talented performing artist.................the only concern to many viewers is she singing for herself or for others????????????????

And from the word go, she seems to be on the defensive mood...............from feeling the heat to exculpate herself from not releasing albums to vindicate herself from her murky past........................................but she misses the point when adducing that the Almighty GOD is humane somewhere in the State House...................that is blasphemy........................
 
Kwa mtazamo wangu mi naona huyu dada amefanya jambo la maana sana kuufikisha ujumbe wake kwa njia hii.Maudhui ya huu wimbo yako wazi kabisa na anaomba watu wasiendelee kumsakama.Ametambua kosa lake na alikwishaomba msamaha na akasamehewa.KAMA MWENYE KUKU AMEMSAMEHE NYIE NI NANI WA KUENDELEA KUMSEMA!!!!!!!!!
 
Kwani Mfalme ninyi hammjui ni nani?..kwani nani aliyemshawishi kuingia katika siasa? nani aliyempigia debe akashinda? sasa si anakula mezani lwa mfalme na mwenye kuku anataka amsikumbuke tena ya zamani..labda akisikia mwenyewe hapo alipo atamsamehe atamwingiza kwenye kundi la wateule (WANA WAKE NA MAENDELEO ...)
 
Sauti tamu...I could eat it for breakfast, lunch, dinner! Hata mimi akiniibia kuku nitamsamehe tu.
 
Sauti tamu...I could eat it for breakfast, lunch, dinner! Hata mimi akiniibia kuku nitamsamehe tu.

hehehehehehehehehehehe
ebufikilia mfalme kaja nyumbani kwako then akaiba kuku na wewe ukafahamu,utafanyaje?
inauma sana kwakweli,ndio maana hapa china hawa jamaa huwa hawana maneno mengi,unapigwa kisu na yeye anajimaliza,ama demu atajirusha kutoka ghorofa ya 12 huku nyuma akiacha ujumbe wa kuku na mfame,mfalme akisha juwa tu nae fasta anajimaliza hehehehehehe

kwa hiyo dada kamata we kamata huko bongo usije kamata nchi za watu fasta unaenda kuhani hehehehehe
 
Anaimba Pumba tupu!! halafu naye amechaguliwa kuwa mbunge...kweli maendeleo yatakuja ukiwa unaongozwa na mtu kama huyu.
 
wenzangu kitu hiki kiko wazi kuku ni Jakaya mwenye kuku ni Mama Salma...nyie mnamzonga vipi tena jamani...tutafika tu hizi dudu zisizo jaa hata kwenye vibakuri zinatutesa sana.....hata huyo mtoto Glory ni wa Jakaya .....KAMATA DADA USILEGEZE KAMATA HIVYOHIVYO
 
Wana JF nawaombeni kuelewa fasihi iliyotumika kwenye wimbo huu. "Mfanyakazi kaiba kuku jikoni kwa mfalme. Wenzake wakamsakama. Akaona heri ajisalimishe kwa mfalme na kuomba msamaha. Akasamehewa. Wafanyakazi wenzie walipoendelea kumsakama akawambia kama mfalme keshasamehe nini tena". Swali hivi kuku na mfalme ni akina nani?

Zamani alikuwa na mahusiano na mkuu wa kaya wakatupana,akaja kumuomba masamaha akasamehewa sasa wakajia akina Hawa Ghasia,Zakhia Meghji na wengine wakimsemelea kwa mkuu wa kaya kuwa bado yeye ajatulia...sasa hanawaambia mbona mfalme kanisamehe nyie mnataka nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom