Vicky kamtata na kuku wa mfalme.

Vicky kamtata na kuku wa mfalme.

hebu tamka hii Id yako bila kutaja herufi moja moja
 
2015 katiba mpya, hakuna viti maalum sasa tuone kama uchi wake utakuwa na faida tena.
 
Amuombe mfalme ampatie Kuku wengine wengi wa Akiba. Maana siku si nyingi hata hao kuku mfalme hatokuwa nao
 
Huu wimbo ni taarab au? Kumbe mtu mwenyewe kanonihino fulani! Kweli CCM wameishiwa. Nani kampa ubunge huyu? Sioni tofauti yake na Hadija Kopo. Anaimba au anauza uzuri? Kama mambo ndiyo haya acha watu waseme kuwa Choma Choma wetu wa kukuu alishapitia. Eti huyu naye anaitwa mhe. Mbunge! Tumekwisha. Siku atakapokuja CD toka mitaa ya Ohio, Kinondoni na Magomeni na kuwa mheshimiwa ndiyo mtajua ninachomaanisha.
 
Hellol wana JF, nimebahatika kuuona na kuusikiliza wimbo mpya wa dada yetu Mh. MB. Vicky Kamata unaoitwa Kuku wa Mfalme.Ki ukweli mwenye akili na anayetasmini kwa kikina atagundua kuwa dada yetu tayari keshaanza kampeni za kuwasafisha watu fulani fulani kwa maslahi yake binafsi, anasema ktk moja ya verse ya wimbo huo kwamba yy tayari keshapewa msamaha na mfalme kutokana na wizi wa kuku alioufanya hivyo asikilizi tena kelele za watu na anachokumbuka yy ni msamaha tu na ata hiyo radha ya kuku kaisahau maana aliiba zamani sana,hiki ndicho wasanii wetu wanachokijua,kutumiwa na viongozi kwa maslahi binafsi na baadae kutupwa kama Kondom iliyotumika.Enyi wasanii umizeni kichwa kwa mambo ya maana na sio kuburuzwaburuzwa kwa vijisenti ambavyo vyaweza kuwatokea puani huko mbeleni.



Nwasilisha.
Mwimbo safi sana anawakumbusha wezi kwa maana hao wezi wamejisahau kuwa waliiba na ni wezi hongera Mh kamata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom