Vicky Kamata yupo wapi siku hizi?

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,918
Reaction score
14,896
Habari ni kwamba yule mwanamama wa wanawake na maendeleo kada maarufu na alishakua mbunge vitu maalum aliendaga wapi nowdays

amefutika kabisa sijamsikia Dodoma wala Geita tokea apatwe na tukio baya la jamaa kukacha harusi sijapata habari zake tena.

Naomba taarifa tafadhali kwa wenye ushahidi wenye mashiko where is the woman.

Karibuni.
 
Kweli ndoa inang'ang'anizwa sikutegemea kama angeenda kujipachika kule,but they say age is nothing but a number
 
Nadhani anaendana na mazingira ya kuwa mke wa mtu kwa maana ya haonekani sana kwenye maeneo ya bata na pia kaishazoea media so haoni dili sana kutokea gazetini labda wakati wa "kura" ukifika
 
Ni mke wa mtu achana nae usijepatwa na matatizo bure, badala ya kufatilia maandalizi ya ukuta unaanza kufatilia wake za watu.
 

Attachments

  • 14021531_10205503805954881_6907866891162608617_n.jpg
    22.2 KB · Views: 166
Yupo anaishi mbweni jkt namuonaga Mara Chache anakuja huku na mumewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…