Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Sasa unafiki wake uko wapi kama alikuwa anaimba kumsifia mtu aliemshikia bunduki kichwani??

Mtu kama kashikikilia maslahi yako na unajua katili ..na kila mtu anamuimba apate nafuu why wewe usiunge tela?
Sasa Kama alimsifia kwa ajili ya tumbo lake, haoni Kama ni busara kukaa kimya leo kuliko kulamba matapishi yake?!!

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Katoka mbali sana hadi kutishia kuvunja ndoa ya Amina Chifupa. Imagine Mpaka njia kapita nae. Ndo sasa akaja kujituliza kwa Jakaya. Akapelekwa London kusoma,alivyo kilaza huko akafeli ndo karudi Tanzania kupewa kazi BOT na JK.
Besti JK kweli hana 1980s disease? Na kama anayo jamaa inaonekana genes zake zina response vema na minjingu
 
mkuu umetisha.. duh kwa hyo kunawatu walipumua?? Aseee
 
Ni kweli kabisa! Wachina legelege zaidi ya milioni 70, warusi zaidi ya milioni 20 waliuwawa na watawala katili wakina Mao, Stalin - sasa ona nchi hizo maendeleo walio piga! Sisi tunadanganywa kusudi tusiendelee eti democracy.
 
Ile kulazwa ilikuwa kuua soo tu,hakuwa anaumwa wala nini,awashukuru sana kina Mama Sitta walimsitiri sana kipindi hicho.
Mama Sitta kati ya wanawake we heshima huruma na utu. Mungu amjalie huyu mama maisha marefu na afya njema. You should know you have a son who truly love you so much
 
Wewe haujui jamaa aliingia mitini baada ya kugundua Vicky ni HIV positive! Na huo ndo ukweli akampata Likwelile positive mwenzake!
Dah!...mmeamua kumwaga ugali....msameheni bhana aliteleza tu.
 
Kesha angukia pua huko,ndiyo maana unaona makasiriko kama yote
Updates please, nimekua busy sana aisee... nawachukia mno wanawake majambazi wa mali za watoto wa marehemu. Kumbe limeshaangukia pua?
halaf kwa exposure gani aliyo nayo? Watoto wa likwe wapo vzr mno upstairs. Tena watu wazima kabisaa. Mjinga kweli

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kabisa! Wachina legelege zaidi ya milioni 70, warusi zaidi ya milioni 20 waliuwawa na watawala katili wakina Mao, Stalin - sasa ona nchi hizo maendeleo walio piga! Sisi tunadanganywa kusudi tusiendelee eti democracy.
Tatizo la ukatili wa afrika na Tanzania ni ukatili unaoangalia vyama ,yani wa chama hiki akifanya kosa linaonekana ni kosa na wachama hiki akifanya anaonekana ni shujaa . Ukatili wa Afrika unaoangalia Makabila , ukanda n.k. Kwa hali hiyo huo sio utawala wa kunyoosha ila ni utawala wa kutafuta maslahi. Ndio maana unaona watu akipewa madaraka anageuka na kupigania maslahi ya waliompa madaraka badala ya Sharia .

Dunia ya sasa ina wasomi wengi ,huwezi kuwapekeka kama ngombe eti unawatafutia maendeleo !!
Hata Tanzania tulitawaliwa kikatili na waherumani na waarabu tukatolewa kwenye Giza kuu lililokuwepo baada ya Vita ya pili ya Dunia vijana wetu wasomi walianza kuona umuhimu wa kuwa na maendeleo ya kujisimamia wenyewe kistarabu mana waliona adha ya vita katika kutafuta maendeleo.

Hata hivyo ni vyema Vyama vilivyowekwa na wakaloni Afrika vikaondolewa madarakani ili Pawe na tawala zisizojali Vyama bali nchi na maendeleo ya nchi kwa kuchagua watu wenye uchungu na nchi sio mawakala wa Wakoloni kana ilivyo hapa kwetu.
CCM ni wakala wa Wachina ambao ni Koloni jipya la dunia nzima . Na wanaanda vijana wao kuisaidia China kupora rasilimali zetu nakuwafanya vijana wa Kitanzania kuwa wachuuzi wa bidhaa toka China.

Gine wamejikomboa mpaka sasa.
Ni vigumu sana kwa kundi la Raia chini ya Chama kuleta maendeleo eti kibabe kwa kutumia majeshi wakati huo majeshi yakiwa yametelekezwa kimaslahi na wanasiasa wanaokalia madaraka kwa mgongo wa jeshi wakiwa wanajilimbikizia Mali na kuwa mabilionea kwenye nchi maskini. Eti pawe na rais Katili ,ni kujenga civil war miongoni mwa wananchi wasio na hatia ,huku wahalifu wakichanua mitaani na kulewa madaraka na fedha. Na majeshi yakitumika kama kulinda waovu.


Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Ila Vicky janjajanja degree ya Kwanza alisomeshwa na Askofu WA Katolini Jimbo la Shinyanga Hadi akamuimbia na wimbo. Alisomea St Agustino Mwanza. Yaani yeye anasomeshwa na watu Baki si wazazi, ndugu. Dada mjanja Sana.Askofu Balina.
 
Kwa hiyo mume wa Vicky alikufa kwa sababu ya ukatili?
Hivi kati ya walio tumbuliwa kipindi cha Magufuli ni mume wa Vicky tuu..
Hivi kati ya watu walio kosa ubunge ni vicky tuuu?
hahahah hakika ubunge mtamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…