Vichwa vya habari za magazeti baada ya Oct 25!

Vichwa vya habari za magazeti baada ya Oct 25!

Hatimaye ukwawa waapishwa rasmi kuiongoza tanzania (MWANA......)
 
UHURU: Penalty yapaa tena angani, Lowasa bahati haikuwa yake 2015.
 
nmcheka kwa sauti peke angu kama chizi umetisha mkuu
 
Mtanzania-SHAMRASHASHAMRA KILA KONA!!
Nipashe-Hatimaye ccm yang'oka rasmi, yabaki historia!
Mwananchi-Hatimae ubishi umekwisha, Ukawa mambo Safi!
 
Ijumaa: Ukawa yaibuka kidedea: waganga wa kienyeji wajitokeza kwa wingi wakidai ni wasafisha nyota....
kiu: Anguko la ccm laibua sura mpya, Jk aingia mitini
risasi: siri nzito "masikini magufuli" wasukuma wamlilia
sani: "slaa alikuwa mbuzi wa kafara" mweyewe akiri kutumiwa na ccm
ijumaa wikienda: profesa lipumba arudi Tabora, asema kilimo cha tumbaku kinalipa kuliko siasa
We Dada unaonekana una akili nyingi sana,halafu very creative na ni nadra sana wanawake kama wewe kuzaa watoto vilaza labda kwa bahati mbaya sana, lakini Mara nyingi ni mwendo wa kufyatua kopi za matoto genius mwanzo mwisho.
 
Ahsante asee, nilipanga kuwa na wawili hili neno lako siliachi hivi hivi naongea wengine wanne
 
Uuru:Baada ya ushindi,Safari ya mabadiliko yaanza kwa shida.
 
Mwananchi, MSHINDO MKUU! Ni nguvu ya umma!
Tanzania daima, Mama ntilie, bodaboda na wamachinga wafanya kweli, waiteketeza ccm rasmi!
Majira, Sauti ya wengi yasikika, Lumumba ni kilio, jiji lalipuka kwa shangwe, ni Lowassa Awamu ya tano!
 
Back
Top Bottom