GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
vipi kuhusu CUF haita andikwa?
Sheikh YAHAYA kawaathiri akili zenu vibaya sana..........sasa utabiri wa nini? Subiri eventualities
kiwango chako cha kuwaza ndipo kimefikia mwisho mkuu na hapo kitakuwa kinyume chake watakao kuwa wanalalamika ni ccm co chadema
na kama wahariri wanabuni headings za magazeti yao prior to the events, ndiyo uzembe wenyewe ...yaani kufanya kazi kwa mazoea badala ya malengo!Labda ni Mhariri wa gazeti usihukumu ili usihukumiwe.
Ndio hali halisi kwani uchaguzi umeisha isha hv sasa ni formality tu
Huyo jamaa atakuwa mrithi sahihi wa Sheikh Yahaya.Sheikh YAHAYA kawaathiri akili zenu vibaya sana..........sasa utabiri wa nini? Subiri eventualities
Watu wa CCM mnajivunia Tume ya Taifa ya Uchaguzi kama Watanzania wanavyojivunia Mlima Kilimanjaro. Mimi sibishi hayo kweli yaweza kuandikwa ila sitegemei uchaguzi huru mpaka nchi itakapopata Katiba mpya. Hivi unajua kwamba Katiba ingekuwa haizuii watu kuhoji wizi wa kura za Rais sasa hivi tusingekuwa na Baba Ridhiwani kama rais wa nchi maana ushahidi upo unaoonyesha uongo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.Ndio hali halisi kwani uchaguzi umeisha isha hv sasa ni formality tu
Una maana gani?Imeisha iba kurani?
Baada ya tarehe 2 oktoba 2011 wananchi wa Igunga kupiga kura za kumchagua Mbunge wao. Kuanzia tarehe 3 oktoba 2011, vichwa mbali mbali vya habari vya magazeti vitakuwa hivi :
- CHADEMA yapigishwa kwata Igunga
- Mgombea Ubunge CHADEMA akataa kusaini matokeo
- Wananchi wa Igunga wamchagua Kafumu
- Dkt. Slaa apata ugonjwa wa moyo kwa matokeo ya Igunga
- CHADEMA yatumia Tshs 2.5 bilioni uchaguzi wa Igunga na kuondoka patupu
- Polisi Igunga yadhibiti vurugu za CHADEMA
- Wananchi Igunga wakesha kusheherekea ushindi wa CCM
- Viongozi wa CHADEMA wapoteana na kulaumiana
- Mbunge wa CCM Igunga ajiandaa kuapishwa bungeni, ashinda kwa kishindo
- Wananchi wa Igunga wafanya maamuzi ya busara kumrudisha Mbunge wa CCM Igunga
- Helikopta ya CHADEMA yarudi yaondoka, mmiliki wake aidai CHADEMA Tshs 1 billion
- Igunga kwawaka moto, viongozi wa CHADEMA waondoka kimya kimya baada yakushindwa
Sasa kupiga kura kuna maana na manufaa gani kama mmeshapoka ushindi? Najua uwezo wa kufanya hivyo mnao....wachezaji nyinyi....refa nyinyi.......mtangazaji nyinyi....mashabiki nyinyi.....hata mpira nyinyi !!!!!!!