Vichaa wanaheshimu mambo matatu! Pesa magari na mapenzi

Vichaa wanaheshimu mambo matatu! Pesa magari na mapenzi

Hakuna mkamilifu wa akili wengine wanaoga mara moja wengine mbili wengine tatu wengine hawaogi kabisa
Screenshot_20211204-081101.jpg
 
Mshana Jr Kuna Tukio moja linitokea. Kuna kichaa alipita barabarani akawa anatembea tembea na kuongea. Ss mm nilikuwa nimesimama naangalia simu yangu huku nasubiri kitu. Mara nikashangaa Nimetupiwa nguo ghafla. Kumbe yule kichaa alivua nguo na alikuwa wa kike. Alivyonitupia nikashtuka nikakaa pembeni. Yeye akaenda kwenye kidimbwi fulani cha maji akawa anaoga kwa yale maji.

Mpaka leo nalitafakari hili Tukio.
 
Mshana Jr Kuna Tukio moja linitokea. Kuna kichaa alipita barabarani akawa anatembea tembea na kuongea. Ss mm nilikuwa nimesimama naangalia simu yangu huku nasubiri kitu. Mara nikashangaa Nimetupiwa nguo ghafla. Kumbe yule kichaa alivua nguo na alikuwa wa kike. Alivyonitupia nikashtuka nikakaa pembeni. Yeye akaenda kwenye kidimbwi fulani cha maji akawa anaoga kwa yale maji.

Mpaka leo nalitafakari hili Tukio.
Duh..!
 
Mimi bwana kichaa changu ni Cha kupenda pombe,halafu kuwe na music mzuri sasa.Yaani nageuka popo.Chakushangaza ninavyozidi kulewa sitaki kabisa mwanamke yoyote anisogelee.Yaani hata wahudumu wakinisogelea nipo radhi niende nikakae kaunta.Japo nikiwa mzima nakuwa nathaminisha uumbaji wa Mungu,Ila nikishaanza kushusha kilauri.Ni mimi,kilauri na vitamin music.Nitadance mwanzo mwisho.Nakumbuka wakati nikiwa Mwanza,Sengerema.Ilifikia wahudumu wananiambia wazi,wewe hujaoa mbona hata hatujawahi kukuona ukituapproch???? Nilikuwa naishia kucheka tu.Ila hivi vichaa vyangu,toka nimeoa mwaka jana naona vinaenda kuisha aisee.Nikija kwa wife utadhani sio Mimi.Nakuwa bonge la Baba wa familia.Nikirudi kazini mkoani hii hali huwa inajirudia.Sijui ni upweke????Ila nimeamua kuprocess uhamisho ,na mchakato unaendelea.Asikuambie mtu ukiwa peke yako halafu ukaenda viwanja kula bata,kama huna akili timamu ndoa yako unaweza ukaivunja.Marioo alivyoimba Bia tamu hakukosea kabisaaa.Majuto ni baadae.Naamini uhamisho ukikamilika vichaa vyangu vitakuwa vimeisha.Maana baada ya kutafakari, nimegundua dawa anayo mke wangu kipenzi.Sio kwa kunidhibiti huku .Kongole kwa wanawake wote ,wanaoweza kuwadhibiti wanaume wao!
 
Mada hii haiwahusu wale waliorukwa na akili kwa asilimia 100, wale wa kufungwa kamba na magogo,....! Lakini nao wakitulia kuna baadhi ya akili na hisia huwarudi.

Kichaa anajua thamani ya hela
Atafanya vituko vyote ukimpa hela kama hatatabasamu na kuipokea, ataichukua na kuisunda.. Na lazima baada ya hapo awe mpole.. Pesa ni catalyst ya uchizi lakini pia ni tiba!

Magari barabarani.. Kichaa pamoja na uchizi wake na vituko vyake.. Akifika barabarani zinamrudi kwa muda..! Kama ni kuvuka atavuka kwa tahadhari kubwa. Ama atayakwepa ama atasubiri yapite.. kichaa pia kinaogopa kifo..[emoji23] Ni ngumu sana kumkuta kichaa kagongwa na gari!

Mapenzi ya wawili... Pamoja na uwendawazimu wao wote... Hisia hubaki salama salimini.. , hamu huwajia na ashiki huwapanda...! Na ndio maana hufikia hatua ya kubaka, hufikia hatua ya kutongoza, hufikia hatua ya kujichua na hufikia hatua ya kuwa na mpenzi wa kaliba yake.

Wako hivyo walivyo kwakuwa asilimia zimezidi 50 kwenye sekta zote ndani ya serikali ya mudulla. Lakini kila binadamu ni chizi na ni kichaa kwenye sekta mojawapo. Tunachotofautiana ni asilimia tu.

Kuna sex maniac .. Vichaa wa mapenzi hawa kwenye ngono ni wendawazimu na usipomfikisha panapomfika anaweza hata kukujeruhi. Na kati yao hao akipenda amependa na ole wako umtende...!! Utajua hujui.

Kuna wagonjwa vichaa wa pesa. Akiwa hana ni mtulivu, mtakatifu yeye.. Mtu wa Mungu na hekima zote.. Akiikamata laki au mshahara utafikiri kuna pepo limempanda.. Akili zitamrudi pesa ikiisha.

Kuna vichaa wa magari
Kuna vichaa wa misambwanda
Kuna vichaa wa mavazi nknk
Natambua nawe una chako ila hatukioni kwakuwa asilimia ni chini ya 50

CC: mrangi , NAKWEDE
Mimi ni shuhuda wa uliyo yaandika.
 
Mimi mwanamke mweupe na mwenye msambwanda na awe mlefu hao watu walinipaga shida katika ujana wangu.Pamoja na huu utu uzima nilio nao lakini bado wananisumbuaga .Hicho ndo kichaa changu.
Yaani ndugu we Acha tu. Sinywi pombe na sivuti sigara pia sio mtu wa starehe na huwa siendi kwenye watu wengi lakini hilo la mwanamke mwenye matako manene Malaini na ngozi nyororo limekuwa tatizo sana.
 
Kuna vichaa wa magari
Kuna vichaa wa misambwanda
Kuna vichaa wa mavazi nknk
Natambua nawe una chako ila hatukioni kwakuwa asilimia ni chini ya 50

CC: @mrangi , @NAKWEDE
Hapo sasa ni kwa yule anaye ona ndo kichaaa lkn mtendaji wa haya siyo kichaa!!
 
Back
Top Bottom