Cryptographer
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 376
- 737
Mhh,hiyo ya misambwanda nakiri hadi mke wangu anajua
Wana vyura hawa
Sura Beetle Body Benz...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wengine waliokotwa jalalani, wengine walikuwa wanatembea na rula kwenye migahawa kupima urefu wa samaki
Kwakweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ilisoma vizuri huu Uzi utagundua vichaa wengi ni wanaume.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha[emoji23]SHIMBA YA BUYENZE kichaa chako kimetajwa huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Henikeni[emoji85][emoji85][emoji85]Mimi hata sijui ni kichaa wa nini ebu ngoja nijaribu kufikiria [emoji848]
Eeenh [emoji1787][emoji1787][emoji1787] inawezekana auntieHenikeni[emoji85][emoji85][emoji85]
Jf watanipiga ban mwamba hahahHebu upload ile video kaka[emoji28]
Zipo bhana....Zikoje tafadhali[emoji848][emoji848][emoji15][emoji2827][emoji2827]
Nitumie mimi mwamba, unajua sijawahi pigwa ban, na sijui nifanyeje niligwe ban. Tuma kwangu ni uploadJf watanipiga ban mwamba hahah
Ova
Hahaha pmNitumie mimi mwamba, unajua sijawahi pigwa ban, na sijui nifanyeje niligwe ban. Tuma kwangu ni upload