Vichaa wanaheshimu mambo matatu! Pesa magari na mapenzi

Mada hii haiwahusu wale waliorukwa na akili kwa asilimia 100, wale wa kufungwa kamba na magogo,....! Lakini nao wakitulia kuna baadhi ya akili na hisia huwarudi.

Kichaa anajua thamani ya hela
Atafanya vituko vyote ukimpa hela kama hatatabasamu na kuipokea, ataichukua na kuisunda.. Na lazima baada ya hapo awe mpole.. Pesa ni catalyst ya uchizi lakini pia ni tiba!

Magari barabarani.. Kichaa pamoja na uchizi wake na vituko vyake.. Akifika barabarani zinamrudi kwa muda..! Kama ni kuvuka atavuka kwa tahadhari kubwa. Ama atayakwepa ama atasubiri yapite.. kichaa pia kinaogopa kifo.. Ni ngumu sana kumkuta kichaa kagongwa na gari!

Mapenzi ya wawili... Pamoja na uwendawazimu wao wote... Hisia hubaki salama salimini.. , hamu huwajia na ashiki huwapanda...! Na ndio maana hufikia hatua ya kubaka, hufikia hatua ya kutongoza, hufikia hatua ya kujichua na hufikia hatua ya kuwa na mpenzi wa kaliba yake.

Wako hivyo walivyo kwakuwa asilimia zimezidi 50 kwenye sekta zote ndani ya serikali ya mudulla. Lakini kila binadamu ni chizi na ni kichaa kwenye sekta mojawapo. Tunachotofautiana ni asilimia tu.

Kuna sex maniac .. Vichaa wa mapenzi hawa kwenye ngono ni wendawazimu na usipomfikisha panapomfika anaweza hata kukujeruhi. Na kati yao hao akipenda amependa na ole wako umtende...!! Utajua hujui.

Kuna wagonjwa vichaa wa pesa. Akiwa hana ni mtulivu, mtakatifu yeye.. Mtu wa Mungu na hekima zote.. Akiikamata laki au mshahara utafikiri kuna pepo limempanda.. Akili zitamrudi pesa ikiisha.

Kuna vichaa wa magari
Kuna vichaa wa misambwanda
Kuna vichaa wa mavazi nknk
Natambua nawe una chako ila hatukioni kwakuwa asilimia ni chini ya 50

CC: mrangi , NAKWEDE
Huyo kichaa wa pesa atakuwa mimi. Nikute sina kitu jinsi niliyo mtakatifu, waweza tamani nikuongoze sala ya toba. Ngoja nizikamate, sirudi home mpaka nibaki na nauli tu, hapo narudi kichwa chini mikono nyuma huku nikiapa kuwa sirudii tena. Naomba tiba kaka Mshana Jr
 
Aisee kuna aina ukichaa flan ninao daaaq ni hatari sana
 
Huyo kichaa wa pesa atakuwa mimi. Nikute sina kitu jinsi niliyo mtakatifu, waweza tamani nikuongoze sala ya toba. Ngoja nizikamate, sirudi home mpaka nibaki na nauli tu, hapo narudi kichwa chini mikono nyuma huku nikiapa kuwa sirudii tena. Naomba tiba kaka Mshana Jr
Dah..hahaha pole sana hili tatizo ni la wengi, wengjne ni mshahara, tiba halisi iko ndani yako
 
Dem awe mwembamba na vihips flani hivi aisee aisee lazma nimsemeshe hata iweje
FB_IMG_1635583243356.jpg
 
Mada hii haiwahusu wale waliorukwa na akili kwa asilimia 100, wale wa kufungwa kamba na magogo,....! Lakini nao wakitulia kuna baadhi ya akili na hisia huwarudi.

Kichaa anajua thamani ya hela
Atafanya vituko vyote ukimpa hela kama hatatabasamu na kuipokea, ataichukua na kuisunda.. Na lazima baada ya hapo awe mpole.. Pesa ni catalyst ya uchizi lakini pia ni tiba!

Magari barabarani.. Kichaa pamoja na uchizi wake na vituko vyake.. Akifika barabarani zinamrudi kwa muda..! Kama ni kuvuka atavuka kwa tahadhari kubwa. Ama atayakwepa ama atasubiri yapite.. kichaa pia kinaogopa kifo.. Ni ngumu sana kumkuta kichaa kagongwa na gari!

Mapenzi ya wawili... Pamoja na uwendawazimu wao wote... Hisia hubaki salama salimini.. , hamu huwajia na ashiki huwapanda...! Na ndio maana hufikia hatua ya kubaka, hufikia hatua ya kutongoza, hufikia hatua ya kujichua na hufikia hatua ya kuwa na mpenzi wa kaliba yake.

Wako hivyo walivyo kwakuwa asilimia zimezidi 50 kwenye sekta zote ndani ya serikali ya mudulla. Lakini kila binadamu ni chizi na ni kichaa kwenye sekta mojawapo. Tunachotofautiana ni asilimia tu.

Kuna sex maniac .. Vichaa wa mapenzi hawa kwenye ngono ni wendawazimu na usipomfikisha panapomfika anaweza hata kukujeruhi. Na kati yao hao akipenda amependa na ole wako umtende...!! Utajua hujui.

Kuna wagonjwa vichaa wa pesa. Akiwa hana ni mtulivu, mtakatifu yeye.. Mtu wa Mungu na hekima zote.. Akiikamata laki au mshahara utafikiri kuna pepo limempanda.. Akili zitamrudi pesa ikiisha.

Kuna vichaa wa magari
Kuna vichaa wa misambwanda
Kuna vichaa wa mavazi nknk
Natambua nawe una chako ila hatukioni kwakuwa asilimia ni chini ya 50

CC: mrangi , NAKWEDE
Hapi kwenye misambwanda hapo sasa hapoooooooo.....
 
Back
Top Bottom