vichaa ndani ya ndege

selestin john

Member
Jan 20, 2012
67
8
hospitali moja ya vchaa iliamua kuwatembeza vichaa wao siku moja,sasa katika safari yao wakaamua kupanda ndege,lakini wakati ndege iko angani sana msimamizi wa vichaa hao akaenda chooni lakini aliporudi akamkuta kichaa mmoja 2 kati ya wote amesimama kwenye mlango wa ndege hiyo huku mlango ukiwa wazi+msimamizi akamuuliza wako wapi wenzako?kichaa akajibu wameenda kucheza mpira huko nnje na mimi nangojea mmoja achoke niingie kucheza....msimamizi alizimia palepale hadi leo nae kichaa***end
 
kunamtu leo kaniudhi sana na niliapa hataniona na sura ya furaha,chaajabu wakati yeye yupo hapa hapa karibu yangu ndio nasoma hii thread yaani nimeangua kicheko hadi kanishangaa,umeniudhi sana kunichekesha mbele ya huyu mwana izaya!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom