Vicent Nyerere (CHADEMA) amwaga luninga sokoni

Angekuwa analala bungeni asingetoa,tungoje wassira nae atoe Bunda nawapenda CHADEMA wakati wenzao wanapiga domo wao wanachapa kazi na kutimiza ahadi,

Haswaaaaaaa...!Mkuu habari za siku,umeadimika sana aisee.
 
Wacha uongo hizo bei za Sony ndio kanunua Vicent Nyerere, bei yake bongo milioni 1.2 hawezi kununua, amenunua kachala za China Sony Sh300,000 kila runinga moja.

Ritz bwana,ina maana 300,000 x 10 =9,000,000? Hebu nenda lunch kwanza urudi upya,na jua njaa inakuuma.
 
Uongozi ni ubunifu!na huu ndio ubunifu tunaoutarajia toka kwa viongozi wetu!
Kama ubunifu aliofanya zitto kuwaleta wanakigoma pamoja.
Vincent ni miongoni mwa wabunge vijana wachache wa chadema ambao mpaka sasa wakiulizwa wameshafanya nini wana mengi yakueleza.
Napenda siasa zake,anafanya siasa saaaafi.
Muda mwingi utamsikia yupo jimboni.
Kuna kipindi tena nilisikia jamaa katoa fedha kwa vikundi vya wanawake ahadi aliyokuwa amewaahidi,wanawake walitoa machozi maana ni vitu walikuwa wanavisikia tu,walishazoea ahadi hewa.
Bravo nyerere!
 
Safi sana,CCM hata siku moja haitajikita kwa wananchi kupata habari luninga kwa CCM ni kujivua nguo na kubaki uchi jitihada za CCM na serekali ni kuhakisha wananchi hawapati habari.Huu ndio mtaji wao wa kutawala.Fulana,kofia,khanga pilau vikundi vya usanii.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
wacha uongo hizo bei za sony ndio kanunua vicent nyerere, bei yake bongo milioni 1.2 hawezi kununua, amenunua kachala za china sony sh300,000 kila runinga moja.
another victim of wagagagigikoko tribe! Lord have mercy!
 
Hilo soko kama la kariakoo au quality kama sio mlimani city? manake kuwapa luninga sio tatizo sana, changamoto ni usimamizi kwa hivi vitu vya umma na wanasiasa waepuke kutoa vitu manake hawawezi kutoa siku zote na kutoa kwa watu wote. Kutoa kwa mtindo huu ni kutupa uungwana ni kuwawezesha hao wafanyabiashara kununua luninga wao wenyewe. Kuwapa kwa namna hii ni kutupa.

Si mnaona wanapewa luninga wanasema maji yanatuama sokoni, inamaana wanaamini yupo mtu atakuja kuwaondolea maji yanayo tuama, very wrong development approach bora tuwashtue na hawa wabunge vijana waje na ubunifu hili la kutoa ndilo lilowazamisha CCM ijapokuwa lina airtime na coverage ya kutosha.

Jengea watu uwezo wajiinue wenyewe, kuwanyanyua hamtaweza ila wanaweza kujinyanyua wenyewe.
 
Hiyo ni RUSHWA au TAKRIMA?

Kupata habari imekuwa ni RUSHWA ? Nchi zilizoendelea Wana SHOPPING MALLS na it is required kila MALL iwe na News Centers such as live TV watu wajue kinachoendelea DUNIANI wakati wana-shop.Sasa yeye anataka watu wa JIMBONI kwake WanaoSHOP na WAFANYAKAZI wajue kinachoendelea... Unaita
RUSHWA ? Lakini kupeleka PESA USWISI SIO RUSWA ? au kuchagua NDUGU na JAMAA ndani ya CCM-NEC ?
 
Je!! Hicho ndicho kipaumbele chetu????????

Maendeleo sio lazima yawe SEHEMU wewe unayoitaka... KUPATA HABARI za kila siku kwa WENGINE ambao walikuwa hawapati sasa wanapata ni MAENDELEO kwao; na kilikuwa kipaumbele CHAO... KILA MTU ANA KIPAUMBELE CHAKE ndio MAANA UNA UHURU WA KUPIGA KURA... SIDHANI kura yako Inanunuliwa na MTU FULANI ???
 
Angetoa hongo kama wanavyofanya wajumbe wa Nec ccm pengine isingekuwa nongwa. Yawezekana mnaolipinga hili mmenufaika na uwizi wa rasilimali zetu, mbona hamlalamiki uovu unaotendwa na chama tawala badala yake mnawalalamikia wanaowajali raia na kuwaletea maendelea.
 
Hongera sana kamanda V,hata kama njama ya magamba ni watu wasipate haki yao ya habari tutaletewa na wapenda haki kutoka chama makini Chadema......Nepi na wenzio mtajinyea kwa ufisadi endeleeni kuhongana tu ipo siku wallah!!
 
Awawekee na DSTV kabisa, na wao wacheki game.
Kwa kweli kila mwana magamba ni shetani,cheki hii roho mbaya ya hili gamba,ina maana wewe kwa sababu mmehongwa na nepi mna tv mpaka chooni mnaona nongwa kwa hawa raia kuwekewa tv na mbunge wao makini ili kupata habari??Time will tell dhuluma haiwezi kuishinda HAKI hata siku moja....
 
Back
Top Bottom