Vicent Nyerere (CHADEMA) amwaga luninga sokoni

hongera v.nyerere ila uwanunulie na ving'amuzi maana chama cha magamba inampango wa kupunguza upatikanaji wa habari kuelekea uchaguzi wa 2015 kwa kisingio cha kuhamia kwenye digitali,
hivi kweli mtanzania anayeishi kwa chini ya dola 1، na wakati mwingine hawezi kutabiri chakula cha baadaye ataweza kulipa bili ya king'amuzi?
 
Nyumbani kwake hana lcd aje awapelekee sokoni? Acheni kujitoa akili kama majuha'milion 9 tv 10 kwa bongo?
we ni basha wake useme nyumbani kwake hana hiyo tv, miwanaume ya siku hizi mimbea kweli kweli majumbani kwa watu mnatolea mijicho ,kutoa ni moyo sio utajiri unaweza kutoa kitu cha thamani sana ingawa wewe huna hicho kitu sio lazima uwe nacho ndio na wewe utoe!!!!!!!!
 
Naona umeishiwa hoja unaleta viroja wewe unavyoshinda JF kumsifia Dr Slaa ni nani yako.
 
wacha uongo hizo bei za sony ndio kanunua vicent nyerere, bei yake bongo milioni 1.2 hawezi kununua, amenunua kachala za china sony sh300,000 kila runinga moja.

kinachonishangaza kuhusu wewe ni kuwa kilakitu unajua kweli wewe kichwa
 
Back
Top Bottom