Vicent Nyerere (CHADEMA) amwaga luninga sokoni

Hizo tv za kichina kumi kwa milioni tisa mbona habari nzito kwelikweli au ndio siasa zenyewe
 
Kujenga barabara za lami nchi nzima mnabeza,mabasi yaendayo kasi jijini dsm mnabeza lakini tv za kichina ni hongera, kweli asiekujua hakuthamini
 
Kujenga barabara za lami nchi nzima mnabeza,mabasi yaendayo kasi jijini dsm mnabeza lakini tv za kichina ni hongera, kweli asiekujua hakuthamini

MMEJENGA KWA HELA YA NANI NA YEYE KANUNUA TV KWA HELA YA NANI?

OOH SIO WA UKOO WA NYERERE......MKAUMBUKA

majira4.jpg
 
Huyu Vicent vipi tena? Anatoa TV ili watu waelimike kwa kupata habari? Sisi kwetu tunatoa shibe ya nguvu na mavazi (Tshirts na Kofia bila kusahau kanga) ili kuwa sitiri watu. Tuna upendo wa ajabu. pilau.jpg
 
Hilo soko kama la kariakoo au quality kama sio mlimani city? manake kuwapa luninga sio tatizo sana, changamoto ni usimamizi kwa hivi vitu vya umma na wanasiasa waepuke kutoa vitu manake hawawezi kutoa siku zote na kutoa kwa watu wote. Kutoa kwa mtindo huu ni kutupa uungwana ni kuwawezesha hao wafanyabiashara kununua luninga wao wenyewe. Kuwapa kwa namna hii ni kutupa.

Si mnaona wanapewa luninga wanasema maji yanatuama sokoni, inamaana wanaamini yupo mtu atakuja kuwaondolea maji yanayo tuama, very wrong development approach bora tuwashtue na hawa wabunge vijana waje na ubunifu hili la kutoa ndilo lilowazamisha CCM ijapokuwa lina airtime na coverage ya kutosha.

Jengea watu uwezo wajiinue wenyewe, kuwanyanyua hamtaweza ila wanaweza kujinyanyua wenyewe.
Kweli? labda angepeleka sare za chama kama afanyavyo Nape ndiyo kuwajangea uwezo wa kujinyanyua wenyewe!. Ndugu katika dunia ya leo sekta ya habari imekuwa na nguvu kubwa ya kuleta uwezo wa mtu kujitambua zaidi na kujijengea uwezo binafsi. Tuliyodhania hayawezekani wenzetu wanaweza. Hivyo kupitia kuona na kusikia twaweza kujiinua pia.
 
Sasa wale mawaziri mabingwa wenye shahada ya kukoroma bungeni tutawaona live wapeni news hii !
 
Nyie zenu za kihindi ziko wapi?

sisi tunaboresha miundombinu ya barabara,huduma za jamii mfano shule za msingi kila kijiji na sekondari kila kata huku tukihakikisha huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo kasi kwa miji mikubwa kwa kuanzia na dar.
 
hongera Mh vicent kwa kuonyesha namna ulivyotofauti na baadhi ya wabunge...hata namna unavyochangia mijadara yko bungeni unaonyesha wanamusoma hawakukosea kwamfano ile hoja ya TBS na ukaguzi wa magari nnje ya nchi!
 
Hizo tv za kichina kumi kwa milioni tisa mbona habari nzito kwelikweli au ndio siasa zenyewe

Unahitaji kupewa msaada wa TV pia ili usitegemee habari chakavu. Alafu usifikiri kuwa kila kitu cha China ni bei chee au si bora! Badili fikra kuwa na utambuzi wa mambo tofauti2.
 
hongera Mh vicent kwa kuonyesha namna ulivyotofauti na baadhi ya wabunge...hata namna unavyochangia mijadara yko bungeni unaonyesha wanamusoma hawakukosea kwamfano ile hoja ya TBS na ukaguzi wa magari nnje ya nchi!

Asante kwa hili
 
sisi tunaboresha miundombinu ya barabara,huduma za jamii mfano shule za msingi kila kijiji na sekondari kila kata huku tukihakikisha huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo kasi kwa miji mikubwa kwa kuanzia na dar.

Ha ha haa NYINYIEMU........Hapa unabomu FLANAZ

1+(2).jpg
 
Hamuwezi kuchukua nchi 2015,labda kilimanjaro ijitangazie uhuru wake na kuitwa nchi,chadema ni chama cha wachaga.Over
hahahahahah kweli kuna nati moja imekukatika unataka tumpe yule mwakyembe ili mbeya ijitangaze kuwa nchi huru you just watch and see hatuitaki kura yako nafamilia yako nzima na tutashinda kwa kishindo kikubwa
 
sisi tunaboresha miundombinu ya barabara,huduma za jamii mfano shule za msingi kila kijiji na sekondari kila kata huku tukihakikisha huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo kasi kwa miji mikubwa kwa kuanzia na dar.
Ulitakiwa kumsifu V. Nyerere maana sasa hawa wataweza kuona vivutio vipya vya Dar. Hii itasaidia wao kwenda kutalii huko pia kuangalia hotuba za Vasco D. Au wewe unaona hawastahili.
 
Back
Top Bottom