Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Asante mkuu Kuhani Noah nimekupata kiasi. Sasa nawezaje kuzama kwenye maombi hadi kuwa na intimacy na malaika maana nahisi uombaji wangu uko shallow
Soma sana neno la Mungu, na kulitafakri kwa kina, ni bora usome mstari mmoja ila uwe umeulewa na umekupa ufunuo, then omba kupitia huo mstari.. utashangaa unapata mpenyo. Pia exercise kufunga ili kuvunja baadhi ya vitu ambavyo vinashika usiombe kwa urahisi kwa ku sumbit your flesh to your spirit
 
Ulimwengu usiooneka kwa macho ni hatari mno - kuna mambo ya ajabu mno yanafanyika katika ulimwengu huo!! hata huko makanisani na misikitini kama una uwezo wa kuona aisee waweza kukimbia ama kuzimia kabisa.
 
Master wao huwa ni nani mkuu?
 
Mkuu sorry hapa kuna kitu umenigusa kuna maswali mengi sana napenda nikuulize ila sipendi kuchafua uzi kama hutojali naomba nije pm.
 
Andaa mada kuhusu roho ni nini?
Kuna maisha baada ya kifo?
Mtu akifa anaenda wapi?

Fanya hivyo tuelimike hapo mkuu!
 
Asante mkuu Kuhani Noah nimekupata kiasi. Sasa nawezaje kuzama kwenye maombi hadi kuwa na intimacy na malaika maana nahisi uombaji wangu uko shallow
Takasa nafsi yako kwanza kuwa karibu na MUUMBA wako then ntakupa njia simple ya kulink na malaika wako as ABC huna haja ya kufanya deep maditation mara sijui maombi hizi elimu nashangaa zinafichwa sijui kwa sababu gani maybe kwa manufaa ya watu wachache
 


Asante sana mkuu.

Lakini si ungenipa tu hiyo njia simple.
 
Andaa mada kuhusu roho ni nini?
Kuna maisha baada ya kifo?
Mtu akifa anaenda wapi?

Fanya hivyo tuelimike hapo mkuu!
Sawa, Roho ni uhai wa Mungu ( pumzi ya Mungu ), kwa rugha nyepesi ni mbegu ( seed ya Mungu ). Hii mbengu iliwekwa ndani ya mwili body ( mavumbi ) ila haikuwa active hadi pale pale Mungu alipo pulizia pumzi, ndipo tukapata roho, nafsi na mwili. Kila kimoja kina components.

Roho ( mbengu ya Mungu, kwa lugha laini ni meno la Mungu, ( tumefanyika kwa Mungu kutamka neno tu ). Hii huongozwa eithere na Mungu au Shetani, inategemea muhusika nafsi yake ameamua kuikabidhi wapi. Kinachotokea ni hivi.. Kati ya Roho na Nafsi kuna uwazi kati yake, katika uo uwazi hukaa kati ya Roho ya Mungu ( nuru ya Mungu ) au roho ya shetani ( giza ). Mwenye maamuzi wa kuweka roho ipi hapo ni mtu mwenyewe. Na hata mtu akienda upande wa giza kwa ajiri ya kupata utajiri, huondoa nuru katika hiyo sehemu na kuweka roho ya giza ambayo inakuwa ina atract mali.. siku ikiondoka hapo inasepa na vyake na huyo mtu urudi sufuri kwasababu kuna kuwa hakuna cha kuvuta tena mali. Nitaeleze kwa undani zaidi kuhusu Roho.. ila inshort creation ya roho ni matokeo ya neno la Mungu ( seed ) kwa anae amini
 
Andaa mada kuhusu roho ni nini?
Kuna maisha baada ya kifo?
Mtu akifa anaenda wapi?

Fanya hivyo tuelimike hapo mkuu!
Maisha baada ya kifo yapo, ila sio maisha haya kama haya . Mtu anapo kufa ni mwisho wa mwili wake ( expired date ya mwili na mission yake hapa duniani , so inaweza ikawa kafa kwa wakati sahihi au pre mature death ). Anapo kufa, Roho iliyopo kati kati ya nafsi na roho yake ndio vitaamua huyo mtu aende wapi ( aende gizani alipo papenda au nuruni alipo papenda ). Kwa believe wanakumbuka mfalme Sauli alipozinguana na Mungu akaenda kwa Mganga kumuita Samuel ili apate maelekezo , mganga akafanya ndumba akapandishwa Samuel kutoka kuzimu.. ( kuzimu ipo ), na kuna story ya Lazaro na tajiri .. wote walikufa na mmoja akawa kwenye mateso na mwingine kifuani kwa Ibrahim.. for belive hii.. moto upo na paradise ipo.. maisha huko yataendelea
 
Shusha nondo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…