But there is something weird on that pic
Have a closer look
Hawa madogo mbona wameziba midomo nayo ni sehem ya tamaduni?
Hawajafunga midomo as such, nadhani ni majani Fulani wameweka mdomoni na kupuliza na ambayo hutoa mlio kama filimbi. Hata mimi wakati wa udogo wangu tulikuwa tunafanya hivyo wakati tunachunga ng'ombe. Anyway, naweza kuwa nimekosea, it all depends na utamaduni wa watu hao.
Nimekumbuka kituafrica tuna culture flan hiv amaizing yan!
Vitoto vyetu siku hizi havijui hata kutengeneza chelewa za kufagilia shule, tunawanunulia
Nimekumbuka kitu
Filimbi za mdomoni udogoni kwakweli umenikumbusha mbali.... Nilikuwa na mchuchu wangu nikifika kwao nalia Kama bundi Kisha anatoka
Mmh aisee ujue nakaribia nusu karne nimewinda mpaka ndezi na kutembea zaidi ya km 15 kwenda shambaWewe mshana jr, usituchekeshe bwana, hivi wewe kweli ulichunga ng'ombe wewe na kuwinda sungura, swala na wanyama wengine wadogo wadogo. Wewe inaonekana hujakulia kijijini wewe, teh teh teh.
Mmh aisee ujue nakaribia nusu karne nimewinda mpaka ndezi na kutembea zaidi ya km 15 kwenda shamba