Panga Makalikuwili
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 310
- 469
Boing hilo kubwa na la kisasa kabisa lipo tayari kuungana na midege mingine ya shirika la ndege la Tanzania kupasua anga ndani na nje ya nchi. Dege hilo lenye maandishi ya HAPA KAZI TU na LUBONDO lilifanyiwa majaribio siku chache zilizopita na kufaulu kwa %100 tutalipokea siku itakayo tangazwa hapo baadae
Kwa wale waliokua na kiu kubwa ya kuliona hilo PIPA hata wakatekwa na taarifa za uongo kuwa litatuwa nchini tarehe 26 mwezi huu tuvute subra kidogo tu kwani mzigo upo tayari. Nawashauri tuvihifadhi vibwaya vyetu tutavitumia siku si nyingi.