Vibaraka wa mabeberu wanaungana!

Vibaraka wa mabeberu wanaungana!

Mkuu mbona hueleweki! Shida ni CDM na ACT wazalendo kuungana au shida ni unawaita mabeberu???....Tatizo kubwa la CCM na wanachama wake ni wepesi sana au niseme ni mafundi sana wa kutafsiri kauli za wapinzani katika namna ya upotoshaji, ndio maana wameweza sana kuwafungulia kesi nyingi wanazoita za uchochezi!.....Lazima tujuwe kuwa mapambano dhidi ya Corona sio jukumu na hakimiliki ya CCM wala serikali pekeake, Bali kila mwananchi na kiongozi yeyote pasipokujali itikadi za vyama au Dini, Sasa cha ajabu kila wapinzani walichoshauri ili kuwaokoa Watanzania na janga hili, wengine wanasema wanaombea watz wafe kwa wingi!!!! Huu ni upotoshaji uliopindukia! Jamani Sio dhambi kukiri uwezo wa mpinzani wako na pia kupokea ushauri unaojenga!
 
Kama haipo kumbe unashinda humu kujadili nini? Wewe kweli msukule, mada za Chadema muanzishe wenyewe halafu mnadai haipo. Nimekumbuka kumbe akili zote zimekombwa mumebakishiwa za kutumika tu.View attachment 1471961
Inaelekea ukingoni. Nazungumzie ile iliyokuwa inasumbua enzi za Dk Slaa ipo? Sasa hivi mmebaki matapeli wa kisiasa tu. Naona ulikuwa hujaelewa.
 
Wewe ndiye unaelekea ukingoni kwani hata uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho. Wakubwa zako hawalali kuijadili Chadema wewe unaleta ushuzi baridi hapa. Lakini sikulaumu nyie wakutumwa tu kupiga mapambio ya kusifia ujinga yaliyoko jikoni hamuwezi kuyajua, wenzako mavi yanagonga chupi huko hawalali kabisa.
 
Kwa hiyo sasa hiv wb sio mabeberu tena?
Sisemi kuwa si haki ya tanzania kukopa hapana. Tuna haki.
Ni nacho kataa ni ile hali ya kusambaza propaganda uwa wb nao mabeberu wkt mirad mingi tumefanya kwa misaada yao. Japan nao maybe..
Lakin tusitumie mirad ambayo tunajua dhahiri wametufadhili wao au tumekopa kwao halaf tunajitutumua humu ndani kuwaita mabeberu. Hlaf kesho yake tunakopa tena. It not wise kwakweli.
Tunachokataa ni kuletewa mabavu na hao mabeneru ili watutawale kama vile hatupo huru. Mfano kulazimisha ushoga kama kada wa Chadema anavyotaka huko ni kutawaliwa na sera za mabeberu.
Misaada yao isiwe sababu ya kutulazimisha mambo kama hayo.
 
Wewe ndiye unaelekea ukingoni kwani hata uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho. Wakubwa zako hawalali kuijadili Chadema wewe unaleta ushuzi baridi hapa. Lakini sikulaumu nyie wakutumwa tu kupiga mapambio ya kusifia ujinga yaliyoko jikoni hamuwezi kuyajua, wenzako mavi yanagonga chupi huko hawalali kabisa.
Yaani viongozi wa CCm hawalali kwa ajili ya Chadema? Mh...
 
Tunachokataa ni kuletewa mabavu na hao mabeneru ili watutawale kama vile hatupo huru. Mfano kulazimisha ushoga kama kada wa Chadema anavyotaka huko ni kutawaliwa na sera za mabeberu.
Misaada yao isiwe sababu ya kutulazimisha mambo kama hayo.
Nyie huko CCM yamejaa mashoga,na hata vyama mlivyoingia navyo makubaliano ya kusaidiana kuikabili Chadema vinaongozwa na mashoga waandamizi.
 
Sio kama miaka hiyo,ameshachuja
Ni takriban mwaka mmoja tu toka ahamie ACT WAZALENDO na ndipo lile vuguvugu la kushusha bendera za CUF na kupandisha za ACT WAZALENDO litokee ndani mwaka huo huo furushi la wanachama toka CUF walimiminika kwenda ACT WAZALENDO labda unifahamishe kipimo gani unachokitumia weye Mkuu?
 
Mkuu mbona hueleweki! Shida ni CDM na ACT wazalendo kuungana au shida ni unawaita mabeberu???....Tatizo kubwa la CCM na wanachama wake ni wepesi sana au niseme ni mafundi sana wa kutafsiri kauli za wapinzani katika namna ya upotoshaji, ndio maana wameweza sana kuwafungulia kesi nyingi wanazoita za uchochezi!.....Lazima tujuwe kuwa mapambano dhidi ya Corona sio jukumu na hakimiliki ya CCM wala serikali pekeake, Bali kila mwananchi na kiongozi yeyote pasipokujali itikadi za vyama au Dini, Sasa cha ajabu kila wapinzani walichoshauri ili kuwaokoa Watanzania na janga hili, wengine wanasema wanaombea watz wafe kwa wingi!!!! Huu ni upotoshaji uliopindukia! Jamani Sio dhambi kukiri uwezo wa mpinzani wako na pia kupokea ushauri unaojenga!
Kuputosha? Kama mtu anasema Dar watu 30-40 wanakufa kwa siku huyo ana nia gani? Kama mtu anasema serikali inadanganya kwa nini asije na ukweli wake? Nia hapo ni watu wafe wengi ili anufaike kisiasa.
 
Nyie huko CCM yamejaa mashoga,na hata vyama mlivyoingia navyo makubaliano ya kusaidiana kuikabili Chadema vinaongozwa na mashoga waandamizi.
Matusi na kusema uongo hakutawasaidia. Majibu ni October.
 
Tunachokataa ni kuletewa mabavu na hao mabeneru ili watutawale kama vile hatupo huru. Mfano kulazimisha ushoga kama kada wa Chadema anavyotaka huko ni kutawaliwa na sera za mabeberu.
Misaada yao isiwe sababu ya kutulazimisha mambo kama hayo.
To be honestly mm ni anti-politics. So masuala ya chadema nitakuacha nayo.
Basically wakiamua kuteletea mabavu hatuna namna.
The good news is ni watu wenye kujielewa..
Ndio maana licha ya kuwaita mabeberu bado tunaomba mikopo tunapewa na bado tunaookea misaada yao.

Ambacho sikubaliani nacho ni hali ya kuwaita mabeberu wanaohoji kitu kidogo tu. Ila wakileta hela wanaitwa wahisani. Wawekezaji.
Kwann msiwaite mabeberu moja kwa moja na kuachana na misaada yao?
 
Ndio maana unatakiwa uelewe dhana nzima ya imperialism ni kitu gani? Kama mtu anakupa mkopo au msaada bila condition hamna tatizo.Ila kama msaada au mkopo unataka mruhusu ushoga au msivunje mkataba mbovu sababu ya MIGA. Hapo ndipo haikubariki.
 
Kuputosha? Kama mtu anasema Dar watu 30-40 wanakufa kwa siku huyo ana nia gani? Kama mtu anasema serikali inadanganya kwa nini asije na ukweli wake? Nia hapo ni watu wafe wengi ili anufaike kisiasa.
Mkuu acha kukariri mistari ya watu wengine! Hebu na wewe tupe takwimu zako zinazoonyesha kuwa hizo walizozitoa wao sio za kweli! Kuna watu walikuwa wakizikwa usiku wa manane mpaka waziri akakemea, je huko mikoani kote walikozikwa usiku wewe ulikuwepo na kushuhudia idadi???....Pia mtu kutaja idadi ya watu anaoamini walikuwa wakifa kwa siku sio kwamba anapenda watu wafe bali alitaka tahadhari zaidi ichukuliwe, sasa ninyi mkakimbilia kuzima taa hadi sasa tupo gizani! Idadi ya maambukizi yanayoripotiwa nchi nyingine za Afrika mashariki ni kielelezo tosha kwamba CCM na serikali yake wanapenda kushinda kila kitu kwa bao la mkono! Kama kweli tuna dawa ya kutibu Corona basi tuutangazie ulimwengu watu wote waje Tz kutibiwa Corona , ninaamini tutapata fedha nyingi kuliko hata za utalii!
 
Back
Top Bottom