moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,928
Upinzani tunausambaratisha kabisa oktoba 2020
Kuna kipindi mabeberu walitunyima pesa zao za millenium challenge kisa tukubaliane na ushoga. Tulikataa upuuzi wao. Kw hiyo wakija na mashariti ya kibeberu hatukubali hata kidogo.Karib tanzania. Na hizi ndio siasa za sasa hiv.ukiwabana wanapotea.
Mabeberu watoa leo Scholarship kwa watanzania 50 aisee Common Wealthy ...sasa utaona wasaliti eti ndiyo watenda kusoma yaani!Subiri tuone huo muungano wa vibaraka wa mabeberu utakuwa na impact gani.
Mikwara mingine peleka bar tena nenda na bastola.
Ishu ni scholariship au ubeberu? Unaweza kupewa scholariship huku unaambiwa makampuni yanayochimba madinin yasilipe kodi. Jambo ambalo mtia nia wenu wa urais alikuwa analitetea.Mabeberu watoa leo Scholarship kwa watanzania 50 aisee Common Wealthy ...sasa utaona wasaliti eti ndiyo watenda kusoma yaani!
Ushoga ni kitu kidogo. Binafsi sikubaliani nacho.Kuna kipindi mabeberu walitunyima pesa zao za millenium challenge kisa tukubaliane na ushoga. Tulikataa upuuzi wao. Kw hiyo wakija na mashariti ya kibeberu hatukubali hata kidogo.
Hata Tanzania inatakiwa ifutwe. Maana inatumiwa na wahuni wa Chadema kutukana viongozi.Kwa hiyo china ikifuta ni dunia nzima imefuta?
For the record. Ni nchi tatu tu zilizoblock twitter.
Kwa hiyo huoni kinachofanyika huko Rufiji? Subirini mchukue nchi ili mruhusu ushoga. Maana wabunhe wenu wa kike nasikia walishaanza mambo ya kizungu.Aisee hii comment umejamba ile mbaya
Yaani ni mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr
Chadema imebakiza wajinga na wenye matusi kama wewe. Chadema ndio maana inakufa.Kudadadekiiiii ngoja magasho na mbuzi jike wa lumumba wakuje
Hujaelewa hayo maneno? Matapeli wa kisiasa huwajui?Sijui unaandika upuuzi gani
No offense na sitetei chadema maana sina uhusiano nao.Hata Tanzania inatakiwa ifutwe. Maana inatumiwa na wahuni wa Chadema kutukana viongozi.
Kama mfano mradi gani? Ambao unamashariti ya kibeberu? Ushoga sio ishu ndogo ndio maana hapa Tanzania ni jinai.Ushoga ni kitu kidogo. Binafsi sikubaliani nacho.
Unajua mirad mingi mikubwa nchi hii imefanyika kwa mikopo yenye masharti.?
Kudhibiti maana yake serikali iwe na access ya kuwapata hao wanaotukana maana ni kosa la jinai. Twitter wanaweza kuwataja ni akina nani na wapo wapi? Mbona China walifunga na serikali inafanya kazi vizuri tu?No offense na sitetei chadema maana sina uhusiano nao.
In your definition twitter ifungwe sababu ya chadema?
I mean twiter ni mtandao wa kimataifa.
Viongozi karib wote wa serikal wako kule..
Na si yakwetu tu.. serikal za dunia nzima.
Yaan twitter ifungwe kwasababu mmeshindwa kuidhibi chadema mitandaoni?
Hakuna nchi imefunga twitter eti kwasababu ya chama pinzani.
Hiyo ni moja ya sababu za kitoto kuwahi kuzisikia.
Na sion likitokea
We unaonaje??We umepinga au umejibu?
Yaani twitter watoe data za watumiaji wao?Kudhibiti maana yake serikali iwe na access ya kuwapata hao wanaotukana maana ni kosa la jinai. Twitter wanaweza kuwataja ni akina nani na wapo wapi? Mbona China walifunga na serikali inafanya kazi vizuri tu?
Unataka kumuua Mbowe sasaHujaelewa hayo maneno? Matapeli wa kisiasa huwajui?
Kumbe unajua hawawezi kutoa data za hao wahuni wanaofanya makosa. Dawa ni kuufungia hapa Tanzania.Yaani twitter watoe data za watumiaji wao?
Kwanza ni kinyume na sheria za kumtandao.
America walishajaribu hilo, wakapelekana mahakamani na twitter lakin wakashindwa.
China wameshalazimisha kutaka data za watumiaji. Na si twitter tu hadi whatsapp.
Wakakataa ndio maana hiyo mitandao wakafungia.
Kwamba twitter isipofungiwa serikali haifanyi kazi vizuri? Twitter iko miaka yote hiyo na serikal imekuwa ikifanya kazi kama kawaida.
So what your point here?
Donor country inahitaji mkopo??🤩🤩🤩Siwezi kushangaa juu ya hili jambo sababu nia yao mbaya kwa taifa letu inajulikana. Wao siku zote ni kuliombea mabaya taifa letu maana hawataki lifanikiwe kimaendeleo au hata kuwa na amani na utulivu.
Juzi Chadema wamesema wanaweka nia ya kuweka mgombea wa urais Zanzibar,ila kwa sababu hawana nguvu kisiasa hapa Tanzania baada ya kujulikana ni mafisadi na matapeli wa kisiasa wameomba msaada kutoka vyama vingine vya upinzani.
Chama pekee ambacho kimeonesha nia ya kuungana nao ni Act wazalendo.
Na kama waswahili wanavyosema ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hawa kwa pamoja huwa hawalitakii mema taifa letu. Wao muda wote huwa wanatumiwa na mabeberu kuhakikisha Tanzania haisongi mbele.
Mfano Act wazalendo walishamtuma kiongozi wao aende Usa kuzuia Tanzania isipate mkopo kwa ajili ya maendeleo ya elimu,Chadema walimuunga mkono asilimia mia.
Ulipoingia ugonjwa wa Covid-19 wao walikuwa wanaomba watanzania wafe kwa wingi ili waibeze Serikali ya Ccm kuwa ilikwama kupambana na ugonjwa huu sababu haikuweka lockdown. Na watu tumewashuhudia viongozi wao wakiombea watanzania wafe kama kuku wa mdondo mbele ya luninga ya Aljazeera.
Swali linakuja nyie vibaraka wa mabeberu hata mkiungana huko Zanzibar au hata kwa urais wa JMT nani atawachagua nyie?
Kama mlikuwa mnataka watanzania wafe kwa wingi ili nyie mpate manufaa ya kisiasa. Nani atawachagua nyie?
Na hata kwenye uchaguzi mkuu swali kubwa litakuwa mlitaka tufe sasa mnatuomba kura za nini?
Nyie vibaraka wa mabeberu na matapeli wa kisiasa.
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app