Vibaraka wa mabeberu wanaungana!

Vibaraka wa mabeberu wanaungana!

Siwezi kushangaa juu ya hili jambo sababu nia yao mbaya kwa taifa letu inajulikana. Wao siku zote ni kuliombea mabaya taifa letu maana hawataki lifanikiwe kimaendeleo au hata kuwa na amani na utulivu.

Juzi Chadema wamesema wanaweka nia ya kuweka mgombea wa urais Zanzibar,ila kwa sababu hawana nguvu kisiasa hapa Tanzania baada ya kujulikana ni mafisadi na matapeli wa kisiasa wameomba msaada kutoka vyama vingine vya upinzani.
Chama pekee ambacho kimeonesha nia ya kuungana nao ni Act wazalendo.

Na kama waswahili wanavyosema ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hawa kwa pamoja huwa hawalitakii mema taifa letu. Wao muda wote huwa wanatumiwa na mabeberu kuhakikisha Tanzania haisongi mbele.

Mfano Act wazalendo walishamtuma kiongozi wao aende Usa kuzuia Tanzania isipate mkopo kwa ajili ya maendeleo ya elimu,Chadema walimuunga mkono asilimia mia.

Ulipoingia ugonjwa wa Covid-19 wao walikuwa wanaomba watanzania wafe kwa wingi ili waibeze Serikali ya Ccm kuwa ilikwama kupambana na ugonjwa huu sababu haikuweka lockdown. Na watu tumewashuhudia viongozi wao wakiombea watanzania wafe kama kuku wa mdondo mbele ya luninga ya Aljazeera.

Swali linakuja nyie vibaraka wa mabeberu hata mkiungana huko Zanzibar au hata kwa urais wa JMT nani atawachagua nyie?

Kama mlikuwa mnataka watanzania wafe kwa wingi ili nyie mpate manufaa ya kisiasa. Nani atawachagua nyie?

Na hata kwenye uchaguzi mkuu swali kubwa litakuwa mlitaka tufe sasa mnatuomba kura za nini?

Nyie vibaraka wa mabeberu na matapeli wa kisiasa.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Wameshapoteza.
 
Acha story zako kwa makusanyo yapi,haya ya kuwashusha matajiri wawe masikini ili watawaliwe au
Miradi ipi hiyo? Una habari kuwa barabara mpya za juu zimejengwa kwa hela ya mabeberu. Chini ua ufadhili wa japan na world bank.
 
Hatutaki misaada ya mashariti ya kibeberu. Wasipotoa tunakomaa kivyetu. Mbona miradi kama JNHPP tunajenga kwa fedha za ndani? Jiulize utapata jibu.
Aisee hii comment umejamba ile mbaya

Yaani ni mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr mbrrrrrrrr
 
Siwezi kushangaa juu ya hili jambo sababu nia yao mbaya kwa taifa letu inajulikana. Wao siku zote ni kuliombea mabaya taifa letu maana hawataki lifanikiwe kimaendeleo au hata kuwa na amani na utulivu.

Juzi Chadema wamesema wanaweka nia ya kuweka mgombea wa urais Zanzibar,ila kwa sababu hawana nguvu kisiasa hapa Tanzania baada ya kujulikana ni mafisadi na matapeli wa kisiasa wameomba msaada kutoka vyama vingine vya upinzani.
Chama pekee ambacho kimeonesha nia ya kuungana nao ni Act wazalendo.

Na kama waswahili wanavyosema ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hawa kwa pamoja huwa hawalitakii mema taifa letu. Wao muda wote huwa wanatumiwa na mabeberu kuhakikisha Tanzania haisongi mbele.

Mfano Act wazalendo walishamtuma kiongozi wao aende Usa kuzuia Tanzania isipate mkopo kwa ajili ya maendeleo ya elimu,Chadema walimuunga mkono asilimia mia.

Ulipoingia ugonjwa wa Covid-19 wao walikuwa wanaomba watanzania wafe kwa wingi ili waibeze Serikali ya Ccm kuwa ilikwama kupambana na ugonjwa huu sababu haikuweka lockdown. Na watu tumewashuhudia viongozi wao wakiombea watanzania wafe kama kuku wa mdondo mbele ya luninga ya Aljazeera.

Swali linakuja nyie vibaraka wa mabeberu hata mkiungana huko Zanzibar au hata kwa urais wa JMT nani atawachagua nyie?

Kama mlikuwa mnataka watanzania wafe kwa wingi ili nyie mpate manufaa ya kisiasa. Nani atawachagua nyie?

Na hata kwenye uchaguzi mkuu swali kubwa litakuwa mlitaka tufe sasa mnatuomba kura za nini?

Nyie vibaraka wa mabeberu na matapeli wa kisiasa.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Mungu wabariki mabeberu
 
Ndio maana mimi nawaitaga mbuzi jike

Kinachofuata huwa napigwa ban
Kila wakiwa kwenye heat lazima wawataje mabeberu. Yaani huko mboga mboga yamejaa mashoga kibao
tapatalk_1576643810730.jpg
tapatalk_jpeg_1571937092693.jpg
tapatalk_1570946898001.jpg
tapatalk_1571928346669.jpg
 
Kwa hiyo china ikifuta ni dunia nzima imefuta?
For the record. Ni nchi tatu tu zilizoblock twitter.
Hata sisi tunatakiwa kufanya hivyo. Ili kudhibiti wajinga ambao wanatukana viongozi na kusambaza uongo.
 
Miradi ipi hiyo? Una habari kuwa barabara mpya za juu zimejengwa kwa hela ya mabeberu. Chini ua ufadhili wa japan na world bank.
Japan sio mabeberu ni wadau wa maendeleo. Miaka mingi misaada yao haina mashariti wala nia ya kutunyonya kimabavu. Tanzania ni member WB kama kukopa ni haki yake.
 
Haya ni mawe mazito mtu mwenye akili ndogo kama wewe huwezi kuyajibu. Maana October ni aibu kwa wananchi.
Hivi kungekuwa na mashine ya kupimia akili ndugu yangu kati yangu na wewe kweli una uhakika unanizidi akili mkuu?
 
Mapicha ya wapuuzi wa Chadema ya kutengeneza haya. Hayahusiani na mada tunayojadili.
Yamekugusa na wewe ni mmoja wao. Wacheni tabia mbaya ndiyo maana Mungu alitia kiberiti Sodoma na Gomora.
 
Back
Top Bottom