Vibaraka wa mabeberu wanaungana!

Vibaraka wa mabeberu wanaungana!

Siwezi kushangaa juu ya hili jambo sababu nia yao mbaya kwa taifa letu inajulikana. Wao siku zote ni kuliombea mabaya taifa letu maana hawataki lifanikiwe kimaendeleo au hata kuwa na amani na utulivu.

Juzi Chadema wamesema wanaweka nia ya kuweka mgombea wa urais Zanzibar,ila kwa sababu hawana nguvu kisiasa hapa Tanzania baada ya kujulikana ni mafisadi na matapeli wa kisiasa wameomba msaada kutoka vyama vingine vya upinzani.
Chama pekee ambacho kimeonesha nia ya kuungana nao ni Act wazalendo.

Na kama waswahili wanavyosema ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hawa kwa pamoja huwa hawalitakii mema taifa letu. Wao muda wote huwa wanatumiwa na mabeberu kuhakikisha Tanzania haisongi mbele.

Mfano Act wazalendo walishamtuma kiongozi wao aende Usa kuzuia Tanzania isipate mkopo kwa ajili ya maendeleo ya elimu,Chadema walimuunga mkono asilimia mia.

Ulipoingia ugonjwa wa Covid-19 wao walikuwa wanaomba watanzania wafe kwa wingi ili waibeze Serikali ya Ccm kuwa ilikwama kupambana na ugonjwa huu sababu haikuweka lockdown. Na watu tumewashuhudia viongozi wao wakiombea watanzania wafe kama kuku wa mdondo mbele ya luninga ya Aljazeera.

Swali linakuja nyie vibaraka wa mabeberu hata mkiungana huko Zanzibar au hata kwa urais wa JMT nani atawachagua nyie?

Kama mlikuwa mnataka watanzania wafe kwa wingi ili nyie mpate manufaa ya kisiasa. Nani atawachagua nyie?

Na hata kwenye uchaguzi mkuu swali kubwa litakuwa mlitaka tufe sasa mnatuomba kura za nini?

Nyie vibaraka wa mabeberu na matapeli wa kisiasa.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Hovyo
 
Twitter ni kitu gani? China walishaifuta kama miaka kumi.
Hapa ni Tanzania na Twitter inafanya kazi, nashauri ufike huko na kisha ufanye analysis ya shutuma za watumiaji wa Twitter hususan maria tsehai na kachero mbobezi (kilog) 2014 dhidi ya serikali.
 
Hatutaki misaada ya mashariti ya kibeberu. Wasipotoa tunakomaa kivyetu. Mbona miradi kama JNHPP tunajenga kwa fedha za ndani? Jiulize utapata jibu.
Acha story zako kwa makusanyo yapi,haya ya kuwashusha matajiri wawe masikini ili watawaliwe au
 
Sina muda wa kufuatilia watu kama hao. Ni wapuuzi tu,kama mtu anaweka namba ya Mbunge alafu anasema ni yeye unamfuatilia wa nini?
 
Siwezi kushangaa juu ya hili jambo sababu nia yao mbaya kwa taifa letu inajulikana. Wao siku zote ni kuliombea mabaya taifa letu maana hawataki lifanikiwe kimaendeleo au hata kuwa na amani na utulivu.

Juzi Chadema wamesema wanaweka nia ya kuweka mgombea wa urais Zanzibar,ila kwa sababu hawana nguvu kisiasa hapa Tanzania baada ya kujulikana ni mafisadi na matapeli wa kisiasa wameomba msaada kutoka vyama vingine vya upinzani.
Chama pekee ambacho kimeonesha nia ya kuungana nao ni Act wazalendo.

Na kama waswahili wanavyosema ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hawa kwa pamoja huwa hawalitakii mema taifa letu. Wao muda wote huwa wanatumiwa na mabeberu kuhakikisha Tanzania haisongi mbele.

Mfano Act wazalendo walishamtuma kiongozi wao aende Usa kuzuia Tanzania isipate mkopo kwa ajili ya maendeleo ya elimu,Chadema walimuunga mkono asilimia mia.

Ulipoingia ugonjwa wa Covid-19 wao walikuwa wanaomba watanzania wafe kwa wingi ili waibeze Serikali ya Ccm kuwa ilikwama kupambana na ugonjwa huu sababu haikuweka lockdown. Na watu tumewashuhudia viongozi wao wakiombea watanzania wafe kama kuku wa mdondo mbele ya luninga ya Aljazeera.

Swali linakuja nyie vibaraka wa mabeberu hata mkiungana huko Zanzibar au hata kwa urais wa JMT nani atawachagua nyie?

Kama mlikuwa mnataka watanzania wafe kwa wingi ili nyie mpate manufaa ya kisiasa. Nani atawachagua nyie?

Na hata kwenye uchaguzi mkuu swali kubwa litakuwa mlitaka tufe sasa mnatuomba kura za nini?

Nyie vibaraka wa mabeberu na matapeli wa kisiasa.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Kama kuna mabeberu maanake kuna majike pia na kwa kawaida ya jike akiwa kwenye heat ndio mambo kama haya mpaka upandwe ndio utatulia.
 
Hatutaki misaada ya mashariti ya kibeberu. Wasipotoa tunakomaa kivyetu. Mbona miradi kama JNHPP tunajenga kwa fedha za ndani? Jiulize utapata jibu.
Acha story zako kwa makusanyo yapi,haya ya kuwashusha matajiri wawe masikini ili watawaliwe au
 
Hapa ni Tanzania na Twitter inafanya kazi, nashauri ufike huko na kisha ufanye analysis ya shutuma za watumiaji wa Twitter hususan maria tsehai na kachero mbobezi (kilog) 2014 dhidi ya serikali.
Anaishia kubwabwaja hapa hapa tu.
 
Amani na utulivu umeondolewa na ccm iliyoo madarakani. Ccm hiyo hiyo iko madarakani tangu tumepata uhuru 50+yrs. Unataka kuleta hoja gani??
Kama amani na utulivu imeondolewa na Ccm leo ungeamka salama?
 
Acha story zako kwa makusanyo yapi,haya ya kuwashusha matajiri wawe masikini ili watawaliwe au
Matajili wameshushwa vipi? Kama Tra wanakusanya 1.7 tril na hamna ubadhilifu tegemea makubwa mengine baada ya 2020 election.
 
Kama kuna mabeberu maanake kuna majike pia na kwa kawaida ya jike akiwa kwenye heat ndio mambo kama haya mpaka upandwe ndio utatulia.
Ninakuignore. Bora ukae kimya uumie moyoni kuliko kuongea upuuzi.
 
Jike likiwa kwenye heat dawa ni kupandwa tu ndio litatulia wafugaji wanaelewa hili vizuri sana.

Subiri hao unaowaita mabeberu waje wakufanyizie kazi.
 
Tishio hilo ndio limekufanya hujalala umekurupuka na vijithread visivyo na kichwa wala miguu
Huu mwiba utaona utavyowachoma October. Maana mnadhani siasa ni uzandiki.
 
Siwezi kushangaa juu ya hili jambo sababu nia yao mbaya kwa taifa letu inajulikana. Wao siku zote ni kuliombea mabaya taifa letu maana hawataki lifanikiwe kimaendeleo au hata kuwa na amani na utulivu.

Juzi Chadema wamesema wanaweka nia ya kuweka mgombea wa urais Zanzibar,ila kwa sababu hawana nguvu kisiasa hapa Tanzania baada ya kujulikana ni mafisadi na matapeli wa kisiasa wameomba msaada kutoka vyama vingine vya upinzani.
Chama pekee ambacho kimeonesha nia ya kuungana nao ni Act wazalendo.

Na kama waswahili wanavyosema ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hawa kwa pamoja huwa hawalitakii mema taifa letu. Wao muda wote huwa wanatumiwa na mabeberu kuhakikisha Tanzania haisongi mbele.

Mfano Act wazalendo walishamtuma kiongozi wao aende Usa kuzuia Tanzania isipate mkopo kwa ajili ya maendeleo ya elimu,Chadema walimuunga mkono asilimia mia.

Ulipoingia ugonjwa wa Covid-19 wao walikuwa wanaomba watanzania wafe kwa wingi ili waibeze Serikali ya Ccm kuwa ilikwama kupambana na ugonjwa huu sababu haikuweka lockdown. Na watu tumewashuhudia viongozi wao wakiombea watanzania wafe kama kuku wa mdondo mbele ya luninga ya Aljazeera.

Swali linakuja nyie vibaraka wa mabeberu hata mkiungana huko Zanzibar au hata kwa urais wa JMT nani atawachagua nyie?

Kama mlikuwa mnataka watanzania wafe kwa wingi ili nyie mpate manufaa ya kisiasa. Nani atawachagua nyie?

Na hata kwenye uchaguzi mkuu swali kubwa litakuwa mlitaka tufe sasa mnatuomba kura za nini?

Nyie vibaraka wa mabeberu na matapeli wa kisiasa.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Lipo jambo hapa kwanini ACT WAZALENDO na CHADEMA wameamua kuunganisha nguvu, hypothetically CHADEMA wametangaza kusimamishwa mgombea urais Zanzibar na hesabu kubwa za Zitto ni Mbili;

1. Kwa kutumia kukubalika kwa maalum Seif pemba na kiasi unguja anatarajia kupata kura nyingi za urais ambazo zitampa Ruzuku kubwa

2. Pia kutokana na maalim Seif kukubalika Zanzibar na yeye kusababishwa hata uporaji wa mali za CUF Zanzibar ikiwemo magari na ofisi za matawi uwezekano wa kupata wabunge wengi kwenye Bunge la WAWAKILISHI na BUNGE LA JMT kuwa mkubwa

Waneni husema
"PUT YOUR FRIENDS CLOSE ALSO YOUR ENEMIES MORE CLOSER"

Kwa mashirikiano haya Zitto anakua kashinda kuliko CHADEMA...

Zitto katizama mbali sana, ameamua kumkata kilimilimi kivuruge.
 
Maalim Seif wa 1995 na mwaka 2000 sio wa leo. Kumbuka Ccm mwaka huu hakuna makundi hapo hakuna cha Act wala Chadema.
 
Siwezi kushangaa juu ya hili jambo sababu nia yao mbaya kwa taifa letu inajulikana. Wao siku zote ni kuliombea mabaya taifa letu maana hawataki lifanikiwe kimaendeleo au hata kuwa na amani na utulivu.

Juzi Chadema wamesema wanaweka nia ya kuweka mgombea wa urais Zanzibar,ila kwa sababu hawana nguvu kisiasa hapa Tanzania baada ya kujulikana ni mafisadi na matapeli wa kisiasa wameomba msaada kutoka vyama vingine vya upinzani.
Chama pekee ambacho kimeonesha nia ya kuungana nao ni Act wazalendo.

Na kama waswahili wanavyosema ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hawa kwa pamoja huwa hawalitakii mema taifa letu. Wao muda wote huwa wanatumiwa na mabeberu kuhakikisha Tanzania haisongi mbele.

Mfano Act wazalendo walishamtuma kiongozi wao aende Usa kuzuia Tanzania isipate mkopo kwa ajili ya maendeleo ya elimu,Chadema walimuunga mkono asilimia mia.

Ulipoingia ugonjwa wa Covid-19 wao walikuwa wanaomba watanzania wafe kwa wingi ili waibeze Serikali ya Ccm kuwa ilikwama kupambana na ugonjwa huu sababu haikuweka lockdown. Na watu tumewashuhudia viongozi wao wakiombea watanzania wafe kama kuku wa mdondo mbele ya luninga ya Aljazeera.

Swali linakuja nyie vibaraka wa mabeberu hata mkiungana huko Zanzibar au hata kwa urais wa JMT nani atawachagua nyie?

Kama mlikuwa mnataka watanzania wafe kwa wingi ili nyie mpate manufaa ya kisiasa. Nani atawachagua nyie?

Na hata kwenye uchaguzi mkuu swali kubwa litakuwa mlitaka tufe sasa mnatuomba kura za nini?

Nyie vibaraka wa mabeberu na matapeli wa kisiasa.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
.
1591278995802.jpg
tapatalk_1591426330032.jpg
 
Back
Top Bottom