Vibaraka wa mabeberu wanaungana!

Vibaraka wa mabeberu wanaungana!

Mkuu acha kukariri mistari ya watu wengine! Hebu na wewe tupe takwimu zako zinazoonyesha kuwa hizo walizozitoa wao sio za kweli! Kuna watu walikuwa wakizikwa usiku wa manane mpaka waziri akakemea, je huko mikoani kote walikozikwa usiku wewe ulikuwepo na kushuhudia idadi???....Pia mtu kutaja idadi ya watu anaoamini walikuwa wakifa kwa siku sio kwamba anapenda watu wafe bali alitaka tahadhari zaidi ichukuliwe, sasa ninyi mkakimbilia kuzima taa hadi sasa tupo gizani! Idadi ya maambukizi yanayoripotiwa nchi nyingine za Afrika mashariki ni kielelezo tosha kwamba CCM na serikali yake wanapenda kushinda kila kitu kwa bao la mkono! Kama kweli tuna dawa ya kutibu Corona basi tuutangazie ulimwengu watu wote waje Tz kutibiwa Corona , ninaamini tutapata fedha nyingi kuliko hata za utalii!
Umetumwa na hao vibaraka wa Dj? Ambao mostly hawatumiimii akili bali ugolo? Ina maana mimi niwe na takwimu zangu kama nani? Waziri wa afya au waziri mkuu huwa mumsikii? Hizo habari za dawa za kutibu Corona umetoa wapi? Au ndio lile kundi la zero brain ila kujifanya unadakia mambo?
 
Ndio maana unatakiwa uelewe dhana nzima ya imperialism ni kitu gani? Kama mtu anakupa mkopo au msaada bila condition hamna tatizo.Ila kama msaada au mkopo unataka mruhusu ushoga au msivunje mkataba mbovu sababu ya MIGA. Hapo ndipo haikubariki.
Naelewa. Lakin na sis tusitumie kama kiki ya kisiasa ilihali hatujaweza kusimama wenyewe 100%
 
Siwezi kushangaa juu ya hili jambo sababu nia yao mbaya kwa taifa letu inajulikana. Wao siku zote ni kuliombea mabaya taifa letu maana hawataki lifanikiwe kimaendeleo au hata kuwa na amani na utulivu.

Juzi Chadema wamesema wanaweka nia ya kuweka mgombea wa urais Zanzibar,ila kwa sababu hawana nguvu kisiasa hapa Tanzania baada ya kujulikana ni mafisadi na matapeli wa kisiasa wameomba msaada kutoka vyama vingine vya upinzani.
Chama pekee ambacho kimeonesha nia ya kuungana nao ni Act wazalendo.

Na kama waswahili wanavyosema ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hawa kwa pamoja huwa hawalitakii mema taifa letu. Wao muda wote huwa wanatumiwa na mabeberu kuhakikisha Tanzania haisongi mbele.

Mfano Act wazalendo walishamtuma kiongozi wao aende Usa kuzuia Tanzania isipate mkopo kwa ajili ya maendeleo ya elimu,Chadema walimuunga mkono asilimia mia.

Ulipoingia ugonjwa wa Covid-19 wao walikuwa wanaomba watanzania wafe kwa wingi ili waibeze Serikali ya Ccm kuwa ilikwama kupambana na ugonjwa huu sababu haikuweka lockdown. Na watu tumewashuhudia viongozi wao wakiombea watanzania wafe kama kuku wa mdondo mbele ya luninga ya Aljazeera.

Swali linakuja nyie vibaraka wa mabeberu hata mkiungana huko Zanzibar au hata kwa urais wa JMT nani atawachagua nyie?

Kama mlikuwa mnataka watanzania wafe kwa wingi ili nyie mpate manufaa ya kisiasa. Nani atawachagua nyie?

Na hata kwenye uchaguzi mkuu swali kubwa litakuwa mlitaka tufe sasa mnatuomba kura za nini?

Nyie vibaraka wa mabeberu na matapeli wa kisiasa.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app

Tatizo ukitumia jina MABEBERU wengi hapa wanajua umeshidwa hoja. Hakuna anayejua MABEBERU ni nani? Ukiweza kutoa maana yake watu wangeweza kukusikiliza maana watakuita na wewe MBUZI
 
Mabeberu ni mafala Sana kila siku wananangwa wanatukanwa na wasio na shukrani badala ya kusitisha misaada,wao wanatoa huku wanatukanwa.
 
Siwezi kushangaa juu ya hili jambo sababu nia yao mbaya kwa taifa letu inajulikana. Wao siku zote ni kuliombea mabaya taifa letu maana hawataki lifanikiwe kimaendeleo au hata kuwa na amani na utulivu.

Juzi Chadema wamesema wanaweka nia ya kuweka mgombea wa urais Zanzibar,ila kwa sababu hawana nguvu kisiasa hapa Tanzania baada ya kujulikana ni mafisadi na matapeli wa kisiasa wameomba msaada kutoka vyama vingine vya upinzani.
Chama pekee ambacho kimeonesha nia ya kuungana nao ni Act wazalendo.

Na kama waswahili wanavyosema ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hawa kwa pamoja huwa hawalitakii mema taifa letu. Wao muda wote huwa wanatumiwa na mabeberu kuhakikisha Tanzania haisongi mbele.

Mfano Act wazalendo walishamtuma kiongozi wao aende Usa kuzuia Tanzania isipate mkopo kwa ajili ya maendeleo ya elimu,Chadema walimuunga mkono asilimia mia.

Ulipoingia ugonjwa wa Covid-19 wao walikuwa wanaomba watanzania wafe kwa wingi ili waibeze Serikali ya Ccm kuwa ilikwama kupambana na ugonjwa huu sababu haikuweka lockdown. Na watu tumewashuhudia viongozi wao wakiombea watanzania wafe kama kuku wa mdondo mbele ya luninga ya Aljazeera.

Swali linakuja nyie vibaraka wa mabeberu hata mkiungana huko Zanzibar au hata kwa urais wa JMT nani atawachagua nyie?

Kama mlikuwa mnataka watanzania wafe kwa wingi ili nyie mpate manufaa ya kisiasa. Nani atawachagua nyie?

Na hata kwenye uchaguzi mkuu swali kubwa litakuwa mlitaka tufe sasa mnatuomba kura za nini?

Nyie vibaraka wa mabeberu na matapeli wa kisiasa.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Pumbav.
 
Back
Top Bottom