Vibaraka wa mabeberu wanaungana!

Sijui unaandika upuuzi gani
 
Yamekugusa na wewe ni mmoja wao. Wacheni tabia mbaya ndiyo maana Mungu alitia kiberiti Sodoma na Gomora.
Matusi hayasaidii. October inakaribia tutakuwa tunauliza kama mlitaka tufe kwa maelfu mnataka kura zetu za nini?
 
Kwani Chadema ipo? Maana toka 2015 ilibakiza jina tu baada ya Dk Slaa kuondoka.
Kama haipo kumbe unashinda humu kujadili nini? Wewe kweli msukule, mada za Chadema muanzishe wenyewe halafu mnadai haipo. Nimekumbuka kumbe akili zote zimekombwa mumebakishiwa za kutumika tu.
 
Japan sio mabeberu ni wadau wa maendeleo. Miaka mingi misaada yao haina mashariti wala nia ya kutunyonya kimabavu. Tanzania ni member WB kama kukopa ni haki yake.
Kwa hiyo sasa hiv wb sio mabeberu tena?
Sisemi kuwa si haki ya tanzania kukopa hapana. Tuna haki.
Ni nacho kataa ni ile hali ya kusambaza propaganda uwa wb nao mabeberu wkt mirad mingi tumefanya kwa misaada yao. Japan nao maybe..
Lakin tusitumie mirad ambayo tunajua dhahiri wametufadhili wao au tumekopa kwao halaf tunajitutumua humu ndani kuwaita mabeberu. Hlaf kesho yake tunakopa tena. It not wise kwakweli.
 
Hata sisi tunatakiwa kufanya hivyo. Ili kudhibiti wajinga ambao wanatukana viongozi na kusambaza uongo.
Viongozi wa serikal nzima wako twitter. Hupo hapo?
Asilimia kubwa ya marais wote wako twitter.
Sisem it impossible. Lakin msiikimbie kwasababu ya kigogo.
Twitter ni mtandao wa watu wazima ndio maana viongoz wana account kule.
Incase ulikuwa hujui.. china waliblock kwasababu walitaka twitter iwape majina ya watumiaji wake twitter wakakataa.
 
Sasa mbona maelezo yote hayo hujamtaja Tundu Lissu. Not fair lakini
 
tena wasiishie kuungana tu... wahakikishe wanapata na msaada wa kutosha kutoka kwa "beberus" ili watusaidie kumng'oa huyu mkoloni mweusi.

walete walete wakinukishe hadi mkoloni mweusi aombe poo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…