NICK2275
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 3,930
- 924
Nazan tatzo halipo DSM tu, hata mikoani,machinga wamevamia maeneo mengi, sio parking, si open space,sio road reserve wala ukuta wa ofis wao wameweka makaz hapo, mbaya zaid vbanda vyao huyu kaweka nylon, huyu kaweka bati lililozeeka, huyu kaweka majan ya miti ili mrad tu awe na sehemu ya kivul na mji ubakie mchafu. Kuna saa had unajiuliza hiv hawa wanaoitwa viongz wahalioni hili? Naamin wangetafutiwa utaratb mzur wangefanya biashara zao maeneo mazur na yanayotambulika, ingekua poa sana. Itachukua muda lakin mwisho wa siku tungezoea tu na tungefwata huduma huko, ni aibu mji mzima ni uchafu tu wa machinga na no one cares.Haiungiki AKILINI eneo la POSTA DSM kugeuzwa Mabanda ya MACHINGA na MAMA NTILIE.
Eneo hiyo wakati wa Utawala wa AWAMU ya Kwanza na ya PILI yalikuwa ni Maneno ya Kuvutia sana.Leo hii Maeneo hayo hayana tofauti na MANZESE,TANDALE na MBAGALA.
Huku DALADALA zinapakia Pembeni MAMA NTILIE anapika CHAPATI na VITUMBUA.
WAMACHINGA wamejenga VIPANDA mpaka pembezoni mwa OFISI za SERIKALI na MADUKA ili Mradi ni VURUGU.
Eneo la Wizara ya ARDHI limegeuka SOKO
Stendi la Mwendokasi nalo ni SOKO na VIBANDA vya Mama LISHE na MACHINGA hata Kupaki DALADALA imekuwa Shida MA SHOE SHINER na WAUZA VOCHA wamejenga VIPANDA kwenye MAGETI ya OFISI za SERIKALI
JIJI LIMECHAFUKA KILA KONA