Vibali vya ushamisho TAMISEMI

Vibali vya ushamisho TAMISEMI

Mmm geniveros usifike huko mkuu
sio mstaarabu msukuma gani huyuuuu sasa..!!
Nawe hongera sana ila huu mpango wa kuchelewesha namna hii wanakosea sana!
ila mi niliambiwa yanatoka kuanzia trh 20 maana nilishachoka
Hongera zenu! Ndoa inakosa raha mnapokuwa mbalimbali!
kweli kabisa wengine mpaka makonda wa mkoani wametukremu
 
J amani hata mimi nimepata uhamisho namshukuru saaaana MUNGU na wadau kwa msaada wa taarifa... kwa ambae hajaona jina lake kwa kukosa nyenzo basi andika jina lako mkoa unaotoka,

Hhalmashauri unayotoka na halmashauri unayokwenda nitakusaidia kuangalia na kukupatia majibu haraka iwezekanavyo... MUNGU awabariki sana wadau woote...
 
jamani hata mimi nimepata uhamisho namshukuru saaaana MUNGU na wadau kwa msaada wa taarifa... kwa ambae hajaona jina lake kwa kukosa nyenzo basi andika jina lako mkoa unaotoka, halmashauri unayotoka na halmashauri unayokwenda nitakusaidia kuangalia na kukupatia majibu haraka iwezekanavyo... MUNGU awabariki sana wadau woote...

nisaidie hilo mkuu alexander gasper haule.anatoka singida vijijini anaenda njombe
 
Anatoka chunya kwenda morogoro manispaa

sijaliona ila km una smartphone download adobe programme utaweza kuacces pdf mi jana kuna mtu kaelekeza humu nimedownload imekubali naangalia tu majina so hebu jaribu uangalie vizurii
 
uhamisho wa TAMISEMI majina yametoka jana ingia mtandaoni utaona
 
sijaliona ila km una smartphone download adobe programme utaweza kuacces pdf mi jana kuna mtu kaelekeza humu nimedownload imekubali naangalia tu majina so hebu jaribu uangalie vizurii

Ahsante Mkuu,nimesha download, ahsante pia kwa ushauri wako,ngoja nianze mchakato wa kufuatilia,kuna jamaa tamisemi alinitaka nimpe laki tano ndo anifanyie mchakato,nlikataa,coz naamini sometimes hizi rushwa tunaziendekeza wenyewe,ntakomaa mpaka dk ya mwisho!!
 
mwambunnyara,

Dah! mkuu pole sana me nahisi unakosea kitu kimoja; haukutakiwa kuwaona hao jamaa maana ukishajuana nae na ukimkatalia kutoa hela inakuwa rahisi kulipiza kisasi kwa vile anakujua.

Mimi nimesha washughulikia uhamisho watu wawili bila kuwaona hao wa tamisemi, cha muhimu upata barua ya kukubaliwa kule unakotaka kuhamia baaasi. All in all endelea kufight siku moja utafanikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Daaah mkuu pole sana me nahisi unakosea kitu kimoja; haukutakiwa kuwaona hao jamaa maana ukishajuana nae na ukimkatalia kutoa hela inakuwa rahisi kulipiza kisasi kwa vile anakujua. Mimi nimesha washughulikia uhamisho watu wawili bila kuwaona hao wa tamisemi, cha muhimu upata barua ya kukubaliwa kule unakotaka kuhamia baaasi. All in all endelea kufight siku moja utafanikiwa

Ahsante sana Mkuu,hainipi shida saaana coz watatusumbua Leo,lakini kesho watatupa turn,coz tuna vigezo muhimu vya kuhama,Mungu mkubwa atatusaidia tu bila hata rushwa I said NO corruption!!!!!
 
mwambunnyara,

Noo nshamjua huyo mtu vizuri ndo mambo zao hizo nami nshakutana nao ila mie nlitumia haki kwa sababu nnastahili we ukiwa tayari mkikamilisha kote mda wa kuenda tamisemi barua nambie ukifika ukamuone nani.

Hana tamaa yule dada
 
Last edited by a moderator:
Jamani naomba mniangalizie jina Abinery CHITUNGO maana nimeshindwa kuyapata katika mtandao
 
Back
Top Bottom