Vibali vya ushamisho TAMISEMI

Vibali vya ushamisho TAMISEMI

Jamani ingieni tamisemi.mtakuta kichwa cha habari kilichoandikwa hivi:-MAJINA YA WALIMU UHAMISHO WA VIBALI MAALUM DEC 2014/JANUARY 2015.tatizo ukishadownload ukitaka kufungua unaambiwa can't open file.je ni geresha au????????,?,,??,???.

mkuu kwani ni walimu tuu na watumishi wa sekta zingine vipi?
 
Asante Mungu Hatimaye Jina langu limetoka kwenye uhamisho.
 
Back
Top Bottom