Vibali vya ushamisho TAMISEMI

Vibali vya ushamisho TAMISEMI

Habari niliyoipata ni kwamba vibali vimeshatumwa kwenye halmashauri ila majina ndo yako njiani kuwekwa mtandaoni sasa ndo hapooo sijui wataweka lini?
 
Mwenyw nilipat taarifa izo tok dec 2014, nikaambiwa watawek wik ya mwisho dec ila mpak leo majanga. Ok tuvute subra.
 
Bado kimya?Walioahidi mda wafatilie kuona kinachojiri,mda unaenda..
 
Duh! Choka kabisaaaa nilitarajia leo wangetoa majina ila kimya yaani hata kazi haiendi vizuri.
 
DOMBWELA,

Inaweza ikawa kweli ila pia inaweza isiwe kweli. uhamisho unakuwa processed Mara mbili Kwa mwaka yaani December na June tu. Na barua kutoka Kwa RAS kwenda Tamisemi hutumwa kila tar.30 September na tar.15 December Kwa Uhamisho Wa December.

Na barua hutumwa kila tar.15 march na tar.15 Jun.Kwa Uhamisho Wa June. Ila wale Wa jikoni naomba mtupatie Chakula kilichoiva.
 
Last edited by a moderator:
Jamani ingieni tamisemi.mtakuta kichwa cha habari kilichoandikwa hivi:-MAJINA YA WALIMU UHAMISHO WA VIBALI MAALUM DEC 2014/JANUARY 2015.tatizo ukishadownload ukitaka kufungua unaambiwa can't open file.je ni geresha au????????,?,,??,???.
 
Mbona hilo tangazo halipo?
 
Hilo tangazo lipo naukidownload linafunguka isipokuwa kifaa chako inaonekana hakina uwezo wa kufungua pdf files.
 
hebu tujuze chama2chawa.limebeba ujumbe gani hilo tangazo?majina yapo?niangalizie dunstan mnuga.musoma rural.pili hii cm ni tecno h5.niinstall program ipi niweze kufungua pdf files maan adobereader nimeinstall.is it useless?
 
Hilo tangazo linahusu waliopata uhamisho Kwa sababu maalumu.jina lako sijaliona.Mimi simu yangu ilikuwa haifungui pdf ila baada ya kuinstall adobe sahv inafungua chakukushauli mtembelee mtaalam wa mambo ya IT aliyokaribu nawe kwa msaaada zaidi
 
uhamisho wa mwezi desemba mwaka jana?
 
majina yametoka nimeongea na mtu wa tamisemi sasa hv
 
Back
Top Bottom