wapalepale
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 259
- 58
Jamani naomba mniangalizie jina Abinery CHITUNGO maana nimeshindwa kuyapata katika mtandao
Abinery hakuna mkuu
Jamani naomba mniangalizie jina Abinery CHITUNGO maana nimeshindwa kuyapata katika mtandao
Ahsante Mkuu,ntakutafuta ntakapokuwa tayari kwa hiyo issue,sio siri wanatuweka majaribuni kukaa mbali name wenza wetu,wengine habari ya michepuko hatupendi kabisaaa,ila mazingira yanalazimisha,kiasi kwamba unafanya huku roho inauma!!!
Poa poa kaka
Anatoka chunya kwenda morogoro manispaa
hata mm sijaliona mkuu lakini hata kwenye majina ya waliokosa vigezo pia halipo sasa sijui inakuaje hapo au jina lilisahaulika..
Kuna uwezekano yakatoka mengine majina?
mpaka june au march km una mtu tamisemi
Duuuh!shughuli na ambao majina hayakuwepo kwalio kosa na waliopata watakumbukwa kweli June?kazi kwei kwei.