Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Yapo mtandaoni tayari.
ndo kaniambia hvyo mda huu
Yapo mtandaoni tayari.
Vibali tayari vimetoka. Wanaanza kutuma kwanza kwenye halmashauri kisha
baadaye wanaweka majina Mtandaoni. Mi mwenyewe niliomba na nimepigiwa
simu na Mfanyakazi wa halmashauri kwa Mkurugenzi kwamba, niende Ijumaa
kuchukua kibali.
majina yametoka nimeongea na mtu wa tamisemi sasa hv
Ni kweli Mkuu,hata wife wangu kapigiwa leo kuarifiwa kuwa kibali kimetoka,afatilie barua kwa DED
Muulize tena huyo mtu akwambie ni mtandao upi ameweka maana TAMISEMI hamna kitu!
Upo wilaya gani?
hapatikani kwenye simu
Poa, utatufahamisha pindi ukimpata.
Vibali vimetoka
havijatoka
Poa, utatufahamisha pindi ukimpata.
majina yametoka nipe lako nikuchekia
Cheki masola m kwilenga