VIBAKA/WAHUNi WATINGA STANDARD CHARTERED BANK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIBAKA/WAHUNi WATINGA STANDARD CHARTERED BANK

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kachanchabuseta, Feb 22, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sijui hizi bank zimeingiwa na mdudu gani wamejaza walinzi na makamera kibao lakini hakuna kitu nina mpango wa kwenda kuwashitaki,

  Juzi nilidraw hela kutoka kwa teller baada ya hapo nikawa nimekaa na mzigo huo kwenye makochi nasubiri dereva wangu pembeni kulikuwa na vijana wawili sikuweza kuwatambua vizuri, nilitoka nje wakati dereva alipokuja kunichukua then nikaingia kwenye gari, baada ya kutoka na gari km 1 kujiangalia nikakuta bahasha moja yenye laki 4 sina, nikamwabia dereva arudishe gari scb kufika vijana waliokuwa wamekaa pembeni hawakuwepo nikariport kwa Branch Manager akawapigia watu wa IT(wa kumonitor camera). Nilisubili kwa muda wa 1.45 B.Manager akaniambia nirudi officn watanibigia, nilikataa baada nikasema ngoja nienda kazin

  Baada ya saa 1 tena nipo kazi ndo nikapigiwa simu wakasema hawakuona kitu eti nilipokaa sikuacha kitu chochote

  Mpaka sasa najiuliza maswali yafuatayo

  1. Je kuna watu bank wanashirikiana na vibaka?
  2. Nini matumizi ya camera za bank?
  3. Nataka kuwashitaki nifanyeje?
  4. Makochi yaloyoko bank yanaleta vibaka? maana mtu anakaa muda mrefu akiwa na nia mbaya
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Pole sana,
  takwimu za NGO's ,REPOA etc zimeonyesha watanzania hasa wa DSM hawa aminiani kwa 87% so jifunze kuwa chonjo muda wote.
  tafuta mwanasheria mzuri(ukipata mkenya poa zaidi)atakujengea hoja,then benk watakupa compensation.
  POLE
   
 3. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Labda ni kutimiza masharti ya Benki Kuu; siyo lazima zifanye kazi
   
 4. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Inauma sana kuona kwamba sisi watanzania hatuna haki yeyote katika kuishi kwenye nchi yetu. Hili linaongezewa na ukweli kwamba kwenye sehemu nyingi ambako sekta binafsi imeshamiri kama mabenki kuna kuwa na wageni katika nafasi za uongozi sio ajabu hata huyo branch manager tuliyetegemea afanye kazi ya kuwapata vibaka hao hakushugulika akiwa na nia ya kutatua tatizo ambalo ni wizi. Alichofanya ni kuhakikisha kwamba hakuna sheria inayomlazimisha kupitia picha zinazopigwa ndani ya benki kwa ombi la mteja. Wizi mtupu..... Kwa ushauri kashitaki polisi nahisi wanaweza wakalazimisha kupatikana kwa hizo picha. Angalizo polisi pia inabidi kukata kitu kidogo na kupoteza muda hivyo Great Thinker Upime
   
 5. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu umetoa ushauri mzuri lakini naona kwenye posti zako nyingi humu ndani umekuwa ni mtu wa kupandikiza mbegu hatari sana kwa wabongo kutojiamini.. Unaweza kufafanua kwanini unadhani hao wanasheria wa ki-Kenya ni bora zaidi ya wanasheria wazalendo? hii kweli mpya.....

  Natanguliza samahani kama nitakua sijakutendea haki...:A S 13:
   
 6. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mkuu mimi ni mtanzania na mzalendo wa dhati,siwapendi wakenya,ila Ninawapa Respect kubwa ktk masuala ya kuheshimu pesa = which equates to financial output.Nimefanya nao kazi,nimeishi nao(nje ya kenya-ulaya) wao wanathamini kazi,siyo utu.sisi hatuthamini kazi .
  kwa muathirika wa huu wizi,
  akipata Lawyer Mkenya atafanya assesment na kumpa jibu palepale kuwa anaweza kushinda hiyo case au la(hatompotezea muda wala pesa)
  Akipata lawyer Mtz,atampa moyo wakati hana uhakika wa kushinda kesi then atapotezewa muda na longolongo kibao.
  mwisho kabisa angalia service industry,consultants in kenya na Tanzania jibu utalipata,a simple example ni Tourism and hospitality industry.
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwanini mkenya?
   
Loading...