hhahahaha,ama kweli hizi ni akili za panzi.kwanza tu kutembea na mtu ambae kabisa unajua ni mme wangu tayari hapo kuna ualakini,maanaake wewe umekosa kijan mpaka unatembea na alieoa?huoni hapo unanipandisha chati.kwanza usiombe nimpigie simu naumwa uone atavyowasha gari,ila wewe ukimpigia simu atakuambia nipo na huyu mkewangu,Is just a matter of time,utajuuuuuuuuuutaKama kuolewa ni nishani ushavikwa ngapi? Mbona amekuchit? Tena watatu at the same time? Deal with your man kudil na anaochit nao haisaidii mfanye akuone umewazid hao anaowafata uone kama atachit tena
Hawawezi kuwa vibaka wa ndoa maana hawaibi ndoa. Wanaiba hela...
nani anaekufuatilia wewe?wewe ndo kibogoyo haswa iweje ujue kabisa jamaa ana mke na wewe unakubali?bata gani hizo mnazokula za kujifichafisha,tafuteni zenu mnajisefia kila mnapotaka,Kuolewa raha jamani?subiri mfike 40 hamjaolewa hadi mtafika menopause,no mme kudadeeki wenye waume zao wanajisefia hatsa wakifika 70yrs oldNa ni makavu live kwelikweli mumewe anitongoze mwenyewe tena kwa magoti na machozi alafu bibie analeta kibesi bila mpango sawa ye mzuri kawekwa ndani mie wa part time ananifatilia ili iweje?
hhahahaha,ama kweli hizi ni akili za panzi.kwanza tu kutembea na mtu ambae kabisa unajua ni mme wangu tayari hapo kuna ualakini,maanaake wewe umekosa kijan mpaka unatembea na alieoa?huoni hapo unanipandisha chati.kwanza usiombe nimpigie simu naumwa uone atavyowasha gari,ila wewe ukimpigia simu atakuambia nipo na huyu mkewangu,Is just a matter of time,utajuuuuuuuuuuta
nani anaekufuatilia wewe?wewe ndo kibogoyo haswa iweje ujue kabisa jamaa ana mke na wewe unakubali?bata gani hizo mnazokula za kujifichafisha,tafuteni zenu mnajisefia kila mnapotaka,Kuolewa raha jamani?subiri mfike 40 hamjaolewa hadi mtafika menopause,no mme kudadeeki wenye waume zao wanajisefia hatsa wakifika 70yrs old
wewe kama ni queen bas ni of the jungle,mimi ndo first love and forever na ndo maana akaniowa.si angekuoa jamani?huna jipya wewe ni pozeo tu,subiri utumike kama kondom.kama ni kondom basi wewe ni salamaHalooo umerudi eeeh kama we malkia sanaaa iweje anifate mm? bibi weee tofauti yangu mimi na wewe ni hiyo pete kidoleni ungekuwa queen kama unavyojinadi asingenitafuta mm kubali umedoda rudi unyagoni kajipange upya
kumbe unatoka na vichehe?Raha unazopewa wewe ni zipi? Eti kuolewa raha wakati mara kibao wajifungia chumbani ukimwaga michozi kutwa kumfatilia mumeo katoka na nani stress zimekujaa unatia hata huruma tazama ulivyochuja wote wanakucheka wanajua mumeo kicheche
Huna jipya wewe,kahaba,utabakia kuwa the otherwoman.second best,subiri uolewe umtulize wa kwakoAzote dil na mumeo akitulize watafute makungwi wakufunde namna ya kumtuliza mumeo hata asihangaike na masingo lediz wa mujini
Hawawezi kuwa vibaka wa ndoa maana hawaibi ndoa. Wanaiba hela...
wewe kama ni queen bas ni of the jungle,mimi ndo first love and forever na ndo maana akaniowa.si angekuoa jamani?huna jipya wewe ni pozeo tu,subiri utumike kama kondom.kama ni kondom basi wewe ni salama
Huna jipya wewe,kahaba,utabakia kuwa the otherwoman.second best,subiri uolewe umtulize wa kwako
unataka nikuchekee,nikuambie maneno matamu umekuwa mme wangu?na bado utaisoma number endelea kutumuka wewe the other woman,hadi ufike menopause,raha ya mapenzi ni kuwa huru,sio upo na mme wa mtu unahofia kuonwa,unahofia mke wa jamaa asijue,Kweli wanawake wazuri wameolewa yamebaki manungayembe yanahangaika na waume za watu,kazi kumwagiwa makombo tu,mwaka huu ni wako endelea kutumika,mme wako ataikuta imetepeta kama ulojo wa bibi jumaJitazame ulivo na mitusi na mineno ya karaha apo lazima mumeo atafute watoto laini maneno matamu mdomoni unalo bibi jipange
Ama kweli una akili za samaki?hivi wewe katika akili yako unafikiri utabaki kuwa hivyo hivyo?hujui kama Dunia inalizunguka jua?na kila mwaka unaongeza no kwenye miaka yako.utajuta utazeeka mpweke,wenzako ni mpaka kifo kiwatenganishe,CHEZEA NDOA TAKATIFU WEWEQueen ni wewe siyo mimi ndio sababu nakushangaa kama weye malkia mzuri upo ndani iweje anifate miye? na anajituma mbaya akihofia kutemwa salama ni ww ambaye uko available 24 muzee anatafuta ladha mupya ww santuri ya kale ushachuja anadil na singo mupya na motomoto
Chungu kumesa, lakini ndiyo ukweli wenyewe kwamba wanawake tunajisahau sana na kuwakaribisha vibaka kwenye himaya zetu kutokana na tabia/matendo yetu katika ndoa zetu.Wanawake mlio kwenye ndoa, kubweteka kwenu na kujisahau wajibu wenu katika ndoa ndiko kunakowakaribisha hao vibaka katika ndoa zenu. Jaribu kujiuliza mmeo anachokikosa hapa nyumbani hadi achukue uamuzi wa kubakwa kwa hiari. Vinginevyo mtaishia kulalama na vibaka wanaendelea na shughuli mtindo mmoja.
ha haaaa, mbavu zangusitetei wanaotembea na waume za watu.... Ila napinga kuwaita kuwa ni vibaka... Mtu mzima mwenye akili timamu hawezi kuibiwa.....hivi hao wanaume hawajui kuwa wana wake ??? Hawajui kuwa wana familia? Kwa nini wasiziheshimu??????
Mwanaume mpumbavu huangaika na wanawake wa nje
inabidi tu leo niseme mwanamke mimi! eti mimi nimewabatiza wanawake wote wanotembea na waume wa wenzao na kuwaita vibaka wa ndoa! is it a very negative name au ni sawa? kwa nini hatwtulii nao wakapata waume zao, kutwa kucha kuleta mpasuko kwenye ndoa za wenzao? na walio wengi, hata ukiondoka ukawaachia, they cant even make a wife and a home!du!
Tatizo lenu nyie wanawake mkishaolewa tu then mnabweteka ilimradi tu mliambiwa 'Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe'! hao nyumba ndogo real wanajua ku-care japo wanatuibia! ndio maana nyumba ndogo anaachiwa 100,000/= za matumiizi but mke wa ndoa anaambuli 10,000/=! CHANGES BEGIN WITH YOU!
Halafu nyie @Azote na @Nikiwe mna nini? Au mna-share mwanaume?
koma kabisa,mme wangu mpenzi kumwita nyamafu,wewe sema umechukia hapa baada ya kukupa ukweli,NUNGAYEMBE,SUBIRI MENOPAUSE,wakati sisi tunakunywa chai ya saa kumi na vitukuu wewe upweke unakuua,pole bidadaKamanda ntake radhi siwezi share scraper la huyo bibi kizee mumewe ni nyamafu anakula hadi mizoga