aisee,utakuwa young forever,as for you,future is not part of your vocabralies
Shoga waambie ni vyema wake za watu wakawa realistic
na mme yeye ni kufanyeje?
hahaha,hujui kwamba present ndo inaandaa future.wewe ruka na waume za watu.ukifika wakati unataka kuolewa no one looks at you.utajijuFuture ipo ila hainizuii kuishi my present am living my moments
Wanawake mlio kwenye ndoa, kubweteka kwenu na kujisahau wajibu wenu katika ndoa ndiko kunakowakaribisha hao vibaka katika ndoa zenu. Jaribu kujiuliza mmeo anachokikosa hapa nyumbani hadi achukue uamuzi wa kubakwa kwa hiari. Vinginevyo mtaishia kulalama na vibaka wanaendelea na shughuli mtindo mmoja.
Mme anataka vitendo dada! ukaze msuli sio sitaki nataka.
umeona ee? tatizo hawakubali ukweli.
hahaha,hujui kwamba present ndo inaandaa future.wewe ruka na waume za watu.ukifika wakati unataka kuolewa no one looks at you.utajiju
hahaha,hujui kwamba present ndo inaandaa future.wewe ruka na waume za watu.ukifika wakati unataka kuolewa no one looks at you.utajiju
:sing::sing::sing::sing::sing::sing::sing::sing::sing::sing::sing::sing::sing::sing::sing::sing::sing:
Wakishaolewa wanajibweteka tu kuwekwa ndani siyo tiket kuwa mume hatochit mwanamke ukiolewa jua ndio umeanza safari ya kuhakikisha huyo ni wako pekee otherwise ukilegeza kamba tu imekula kwako pia mjifunze kudil na waume zenu wakichit na siyo kuwaattack wanawake wenzenu mnawafanya wanaume wasifil kosa la kuchit
bibi weeeee,mbona tunaona vikongwe wakiona kila siku?
Kama kuolewa ni nishani ushavikwa ngapi? Mbona amekuchit? Tena watatu at the same time? Deal with your man kudil na anaochit nao haisaidii mfanye akuone umewazid hao anaowafata uone kama atachit tena
inaitwa makavu live!
Na ni makavu live kwelikweli mumewe anitongoze mwenyewe tena kwa magoti na machozi alafu bibie analeta kibesi bila mpango sawa ye mzuri kawekwa ndani mie wa part time ananifatilia ili iweje?
haaapo chacha! haihuuu bibi wewe, atuache tupumue!
heheheiyaaa azoteeee where are you? kam zis wei tuambiane ukweli