NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 24,003
Kenya airways mpaka wahudumu wao ni wezisana nyang'au awa.
DC ulienda lini we nyang'au usilete hadithi za alfu lela ulelaOk maana niliwahi kusafir from Dar-DC wakati tunabadili ndege Addis tulikwea 787 isiyo na Na first class Bali Business Class na Economy
Hao jamaa ni mbwa kila sehemu hawakubaliki kwa tabia zao chafu za wizi,Wanaijeria wanatuchafua sana waafrika, niliwahi kufukuzwa dukani nchi fulani wakinituhumu kuwa ni mnaijeria, hawakutaka kabisa kuhudumia mnaijeria.
Nilijisikia vibaya lakini ikanibidi niwe mpole, sijui yule mwenye duka alipatwa na maswahiba gani mikononi mwa hao binadamu.