falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,229
- 9,357
Hao sio vibaka sema jopo la mafisadi
hii taarifa ya 2010! ila mitaa hyo naskia kuna nchi nipo hapo inaitwa lebanon
Taa zipo nyingi tu ila kila zikiwekwa wanazipopoa wanavunja
Mtego wenyewe rahisi tu...askari wachukue gari aina ya noah na waende muda huo wa uharamia wakiwa wengi na silaha za moto. Dereva awe mwanamke na akifika hapo ajifanye gari limemharibikia najua watatokeza kichwakichwa. Kitakachofuatia ni kufumua fumua ubongo kwa risasi, baasi.
Ni kweli eneo hilo hata mimi niliwahi kupatwa na majanga ilikuwa saa moja kasoro jioni siku ya jpili.
Poleni kwa wanaotumia barabara hiyo tuchague ukawa ili tupate ukombozi
hivi humu si wapo wafanyakazi wa wizara ya mambo ya ndani tunawaomba wafikishe kwa kova hii taarifa
Polisi wako busy wanalinda amani kwenye mikutano ya ccm .
Kaka Lukindo. Waathirika wa Ocean Road wanazidi mia tano. Pale huna cha kujitetea wakikuweka kwenye 18. Ni pori tupu na ufukwe. Wanakufanya wanalolitaka
Kwani Ujambazi Huu Umeanza Kipindi Hiki Tu Cha Kampeni Tulichonacho? Tuache Kufikiri Kwa Kutumia MATAKO!
Nina wasiwasi GENTAMYCINE ww ni Didas Masaburi mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo:sly:
Members Wa JF Mnapata Sana Tabu Na Mimi. Kila Siku Mnanifananisha Na Watu Halafu Bahati Mbaya Wote Ni Wana CCM Ukiondoa Wachache. Mlianza Kusema Mimi Ni Edo Kumbwembe, Kisha Mkasema Mimi Ni Nape Nnauye, Mkaja Kusema Mimi Ni Masoud Kipanya Na Sasa Leo Wewe Unanifananisha Mimi Na Mzee Masaburi. Nadhani Sasa Mmebakisha Kunifananisha Tu Labda Na Lowassa au Mbowe au Lissu au Mnyika Na Hata Barrack Hussein Obama. Watanzania Mlio MAPOPOMA ( Isipokuwa Kwa Wana CCM Wenzangu Tu ) Mna Hamu Sana Ya Kunijua ILA Haitokuja Kutokea Na Inaonyesha Ni Jinsi Gani Mnavyonifuatilia Humu. Hakika Gentamycine Ni Brand Iliyotukuka Humu Jamvini. Safi Sana!
Hahahaa kwahiyo ni wana CCM peke ndio sio mapopoma au sio...ila nahisi utakuwa mhaya mwenzangu wa Rurenge maana unapendq sana misifa😎
Wafikishe ujumbe kwa Kova?hivi humu si wapo wafanyakazi wa wizara ya mambo ya ndani tunawaomba wafikishe kwa kova hii taarifa