Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,348
- 6,672
Kila nkiangalia heka zangu 30 zilivoathiliwa na jua Ifakara naishiwa nguvu
Nyie ndio mnapatwaga na makengeza kuangalia mawingu kila siku, nina amini msimu ujao mambo yatakuwa mazuri
Kila nkiangalia heka zangu 30 zilivoathiliwa na jua Ifakara naishiwa nguvu
Maharage,mpunga na ulezi naona kama bei yake haiyumbagi sana.
Pia alizeti ukilima ukakamua mwenyewe ukauza mafuta na mashudu ,unaweza ukatoka sio haba. Bei ya mafuta ya kula haiyumbagi sana kivile,
Pia ukiwa na mahindi Holili ukasaga ukavusha kimagendo kwenda Kenya taveta unapiga hela yako safi.
Kila la heri ,kilimo ni tofauti sana na ku type hapa ,kinahitaji kujitoa sana.
Wacha mimi niendelee kuchoma Mkaa.
Ukishikwa huko mipakan wanataifisha gari zote hahaha yes ulez upo stable na karanga nadhan
Ukishikwa huko mipakan wanataifisha gari zote hahaha yes ulez upo stable na karanga nadhan
Duh..10 tu🤔..hayo maneno yan maan ganGari hapana watataifisha ni mwendo wa baiskeli usiku ,,
Ukivusha gunia zako 10 unaenda kuuza chapu chapu kouya tsako na kanyi!!
Karanga zipo vizuri sana pia,, mahind ya njano yale ,mahind yale ya popcorn,,
Ukiwa na uwezo wa kununua gunia la karanga na kulikaanga wiki moja na kulimaliza huwezi kosa 50,000 profit ( unatafuta oda kwenye maduka na mini supermarket kwanza) .
Sema vijana wanataka waanzie juu
Duh..10 tu🤔..hayo maneno yan maan gan
Hapana umekosea hesabu mzee baba...debe 1 la karanga ukilichambua na kukaanga linatoa almost faida half half..kuna dogo anakaanga..nadhan anapaga faida km ya 20000...nadhan ni zajdj ya 50000
Ndio karanga zina faida kubwa sana wakti mwingine ya 100% .
Nilikutana na Dogo anauza karanga nikamhoji akaniambia ananunua kilo moja kwa 2200 na mkaa wa 500 ,zikiisha hakosi 5500~600 ,maana ake hapo hakosi faida yake ya 2800~3300
Jiulize biashara gani unaweza kuwekeza 10,000 ukapata 9,000~10,000
Sasa hapa tunaenda sawa..naye alinipa mahesabu km hayo !zinalipa sana