Viazi Vitamu kwa Bei nafuu

Viazi Vitamu kwa Bei nafuu

urbanfarming

New Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
2
Reaction score
1
URBAN FARMING COMPANY.jpg
 
Hongera mkuu kwa kuongeza uzalishaji wa chakula nchini,Kila la kheri.
 
Peleka huo mzigo zanzibar hutojutia. nimwezi wa ramadhani na viazi viko juu.
fungu la viazi vikubwa vitano linauzwa elf 5000
 
Labda kilimo cha umwagiliaji lakini kusubiri mvua hapana kabisa
 
Alafu kuna bwege flan iv anakuja kukupigia hesabu katika karatasi anakwambia kilimo kinalipa

Kilimo kinalipa kwa matajiri...wenye uwezo wa kulima ekari za kutosha..wote wanakuq
waga na connections...ss ww lima ekA 5 ati upeleke masoko yetu haya kafaida kaduuuchuu au ukose kbs kurudisha hela yako😊😊...
 
Kweli kabisa huko ndio tunatakiwa tuelekee huko sasa.
Sisi huwa ni wa mwisho kwa kila kitu maana kilimo cha umwagiliaji Egyptian walianza tangu enzi za farao
Lakini sisi badala ya kutumia vyanzo vyetu vya maji tunaviharibu kwa makisudi
Fikiria ni sehemu ngapi maji yalikuwa yanatiririka zamani lakini leo hata dalili kuwa maji yalikuwa yanapita hapo.
Mito, maziwa na mikondo ipo lakini huruhusiwi kutumia kwa manufaa ila unaruhusiwa kujenga nyumba mahali ambapo maji ya mvua yalikuwa yanapita

Hatuna wa kumlaumu kwa hili bali ni umbumbumbu wetu
 
Mimi ss hv kilimo naawachia mlime kwakwel...mm nikikumbuka masoko.yanavyokatisha tamaa😏😏😏..all the best

Best kwanini ulime .Kama unalima lima kwa ajili ya chakula cha nyumbani kwako .


Ukitaka ufanikiwe wewe nunua kwa wakulima na sio wewe ulima
 
Kila nkiangalia heka zangu 30 zilivoathiliwa na jua Ifakara naishiwa nguvu


Mkuu tafuta maeneo kama haya ulime acha kilimo cha kutegemea mvua kwa karne hii
 

Attachments

  • IMG_20190501_092238_5.jpg
    IMG_20190501_092238_5.jpg
    87.3 KB · Views: 68
  • IMG_20190501_092236_9.jpg
    IMG_20190501_092236_9.jpg
    163 KB · Views: 61
Back
Top Bottom