Lagrange
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 2,438
- 2,868
Ndio,, hivo ndo utafanikiwa na hauta pauka .
100%umesema kweli..ununue kwa wakulima uuze
100%umesema kweli..ununue kwa wakulima uuze
Mkuu tafuta maeneo kama haya ulime acha kilimo cha kutegemea mvua kwa karne hii
Ndio,, hivo ndo utafanikiwa na hauta pauka .
kimefanyaje manengelo?
inategemea na aina ya mazao au ni yote tu?Complicated..... ukivuna mazao mengi na bora jua sokoni utachekeshwa..hakuna masoko stable kbs
inategemea na aina ya mazao au ni yote tu?
Mkuu ungenipa kazi ya kukutengenezea Logo ya Ofisi yako nisingekutoza fedha ila wale ambao wangekua wanauliza umetengeneza wapi logo ningewatoza,,, sina maana logo yako Mbaya
hata ukitafuta masoko mwenyeweMayb mpunga hauna shida kivile..ingawa mwaka jana haukupanda
hata ukitafuta masoko mwenyewe
itabidi tuanze kusambaza wenyewe sasa majumbani na sokoniHakuna..!utapeleka wapi..na serikali yako ilifunga mipaka
itabidi tuanze kusambaza wenyewe sasa majumbani na sokoni
asante[emoji28][emoji28]Kila la heri
kweli..kilimo kinapausha balaa
Ifakara ndo kuna mito balaa
njoo tulimeUlime sasa . Tuwe na stock ya uhakika ya chakula.
Complicated..... ukivuna mazao mengi na bora jua sokoni utachekeshwa..hakuna masoko stable kbs
njoo tulime
By the way kwa mwaka huu sijapanga kwenda ifakara kulima,, nikilima ntakuwa nimekurupuka sana Mkuu.