Bora sisi wanaume hatuvai, maana akina sisi tuna matege, viatu soli zinalala 45 degree na daladala zetu kupata siti labda uwahi ya dereva. yaani Mtambuzi 'Mzee wa kalma' sipati picha ingekuaje? lol.
afadhali hujanitaja mbona yangekushuka shuuu
nivae sikuna mchana kweupe nani anisifu,nikiteguka itakuaje.Tena wewe....
Halafu tule tu viatu twako twa siku zile usije navyo tena nyumbani kwangu, mweh, nusura unitoboe ukucha wa dole gumba la mguuni...! Mama Ngina kasema maroufouk kuvaa hivyo viatu tena, vaa sandles za Kichina ni saizi yako....
nikivaa mnchuchumio,lazima niwe na spare flat shoes.nilijaribu kufanyia mazoezi mchuchumio wee,naona siuwezi.ila kisigino kipana{wedge} huwa naweza
Mimi wakati mwingine huw anacheka sana huko barabarani, ukiwaona dada zetu kwenye mitoko jinsi wanavyotembea utadhani bata...
Yaani mpaka unajiuliza, 'kavalishwa...!'
Najua ni mambo ya fasion, lakini fasion si kuvaa tu, bali pia na kumiliki kile unachokivaa sio kikumiliki wewe..........!
mi na huu mwili wangu ujanja wa viatu virefu sina !mudamwingi sana ni flatties!na ikinilazimu virefu basi huwa ni vile vyenye visigino vipana!
shemeji ujumbe nimepata !
AHAHHAHAHHA !huo ujanja sina mwaya!zinipite tu style !mi nikipiga umini wangu au gauni fupi down lazima nina kitu cha kichina kwa uflat!wavae tu wenye miili yao!na mi si unajua nina eneo la kufidia mahasira ya kushindwa kuvaa viatu vya kimiss!Ha ha ha haaaa, sipati picha nakutana na wewe maeneo ya Posta unakula kona na High Heel Shoes ukiyumba kwa mbwembwe...................
Weweeee, kama your hubby hajakukuta MOI umening'iniziwa vyuma vya KG 20................
AHAHHAHAHHA !huo ujanja sina mwaya!zinipite tu style !mi nikipiga umini wangu au gauni fupi down lazima nina kitu cha kichina kwa uflat!wavae tu wenye miili yao!na mi si unajua nina eneo la kufidia mahasira ya kushindwa kuvaa viatu vya kimiss!
Mimi wakati mwingine huw anacheka sana huko barabarani, ukiwaona dada zetu kwenye mitoko jinsi wanavyotembea utadhani bata...
Yaani mpaka unajiuliza, 'kavalishwa...!'
Najua ni mambo ya fasion, lakini fasion si kuvaa tu, bali pia na kumiliki kile unachokivaa sio kikumiliki wewe..........!
Na kweli shemeji, maana umejaaliwa kishuzi cha ukwee, enzi za ujana wangu, nilikuwa nauza ng'ombe za urithi ili kumpata mrembo wa aina yako.............Una bahati sana wewe...................LOL
nikivaa mnchuchumio,lazima niwe na spare flat shoes.nilijaribu kufanyia mazoezi mchuchumio wee,naona siuwezi.ila kisigino kipana{wedge} huwa naweza
Na kweli shemeji, maana umejaaliwa kishuzi cha ukwee, enzi za ujana wangu, nilikuwa nauza ng'ombe za urithi ili kumpata mrembo wa aina yako.............Una bahati sana wewe...................LOL
with a father like this, who can blame me for anything?
yaani mdingi ana kazi ya ku-measure kishuzi cha shemeji yake? Usije home hadi maza amalize uzazi, huyu mzee namhofia aisee.DANCE IT LIKE YOUR FATHER girl!