Viatu vya kiume Vinapatikana

Viatu vya kiume Vinapatikana

Available
30,000/=
 

Attachments

  • IMG-20170830-WA0005.jpg
    IMG-20170830-WA0005.jpg
    71.2 KB · Views: 84
Hizi ni baadhi ya sample ya mzigo wa viatu tulivyonavyo kwa sasa.

Maswali/Picha zaidi/Kuagiza
0629226770 WhatsApp
IMG_20181007_095754_113.jpg
IMG_20181009_153835_893.jpg
IMG_20181009_154024_032.jpg
IMG_20181009_154437_531.jpg
IMG_20181009_154339_374.jpg
IMG_20181009_153934_515.jpg
IMG_20180928_163311_044.jpg
IMG_20181007_180054_642.jpg
IMG_20181007_175804_721.jpg
IMG_20180928_154951_322.jpg
 
Weka bei inaanzia ngp nataka mzigo
 
Hizo ndio akili za wafanyabiashara wa bongo wameambukia mpaka watawala wao kila linapokuja swala la kufanyabiashara kwenye Jumuiya ya EA watawala wanarudisha mpira golini kwamba hatujajipanga kwa kumjibu mteja kijinga namna ile kisha unashindana na Mnyarwanda au mganda kwenye biashara lazima bidhaa yako utaenda kugawana na ndugu zako au utaenda kwa.mganga kwamba umerogwa biashara haitoki ukweli watz Mungu atuhurumie maana wengi hawajielewi kabisa
Kama huhitaji pesa ungevaa nyumbani na familia yako Mbona umekuja jukwaani kujitangaza, Jibu watu kwa busara mxiuuuuuu
 
Kuna watu wanafanya biashara za maana na hawawajibu ujinga watu
Unafanya biashara ya nyama kisha unakataa Nzi badilikeni unapoleta biashara yako kwenye mchanganyiko wa watu tena huenda huwajui tarajia maswali yakila namna ila wewe simama kwenye lengo lako lakupata soko la biashara yako🙂
 
Back
Top Bottom