Viatu vya kiume Vinapatikana

Viatu vya kiume Vinapatikana

Kama huhitaji pesa ungevaa nyumbani na familia yako Mbona umekuja jukwaani kujitangaza, Jibu watu kwa busara mxiuuuuuu
Watu sampuli yako wengi sana nimekutana nao huwa hawashitui, wanunuzi kimya kimya husikii wakipiga kelele kama wewe, hiyo nguvu uliyotumia kutukana hapa ielekeze kwenye kutafuta hela Mkuu.
 
....majibu ya kipimbi kama haya yamemkimbiza Munawar humu,na alikuwa anuza magari ya mamilioni;
..karibu sana!
Siku zote ukweli mchungu mziki wa Masaki huwezi kacheze kigodoro mbagara, mwisho wa siku kila mtu kafurahia.
 
natafuta safari boots aka mbwa
 
Siku zote ukweli mchungu mziki wa Masaki huwezi kacheze kigodoro mbagara, mwisho wa siku kila mtu kafurahia.
....teh hee hee
....watoto wa mbwa huwaga hamjifichi;
..dunia yenu inaishia Masaki!
.uko juu sana,jipigie makofi kwa matako!
 
Back
Top Bottom