Viatu vya Kichaga...

Nimevipenda hivyo viatu Boflo.!!
Bei gani?
 
Kwanini uchagani na sio kwa wakurya au wajaluo kule Tarime?
 
Kwanini uchagani na sio kwa wakurya au wajaluo kule Tarime?

We shika adabu yako, WEE!

Mlikoanzia ishieni huko huko, huku sisi hatuchelewi kutumia mawe na utani tunafanya na wahaya tu kwa kuwa mama zao wanatupenda.
 
Niko Kyel-Mbeya niagizie kwenye Hood au Sumry kama upo Dar tutabalishana na magunia ya mchele wa kyela
 
He he he he! vya Ki-Rombo hivyo. Boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
You have made my day.
 
Na kwa nini chuo cha polisi kiko uchagani??

Ukianza hivyo utakuwa unakosea maana Magogoni ipo karibu na soko la samaki. Wakiamua kunukia sijui jamaa wanafanyaje kazi.
 
Bofloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.......
 
Kila kitu wachaga kizuri wachaga,kibaya wachaga .ukingalia viuri hapa Jf kwa siku ya leo maada zilizo postiwa hapa zinazo zungumzia wchaga au kutaja majina ya kichaga natumani sii chini ya 8.
 
Aisee huku mamndeni ni vitamu,kuibia,kusfirishia gongo,kutorokea kenya na kuuzia bhangi,police wataisoma no
He he he he! vya Ki-Rombo hivyo. Boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
You have made my day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…