Halafu mmepatia kweli yani hasa hutwo twa manyoya wavaaji wake wana mashauzi balaa ukute kafuga na kucha sasa ukipishana nae km kitoto cha bata kinaogelea kwenye dimbwi la tope
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππ dah nimecheka sana... hasa apo kwenye hiyo new balance ni kweli kabisa sie mabaharia wa dizonga ndo midundo yetu hiyo!!