Viapo vyangu nilivyoipaa maishani.

Viapo vyangu nilivyoipaa maishani.

Red-me

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2026
Posts
453
Reaction score
968
1.sitawai penda 2.sitawai zini 3.sitawahi kuwa choko 4.sitawai penda 5.sitawahi oa 6.namkataa shetani na mambo yake. 7.nitaishi hivi hadi kufa sitawahi acha uzao duniani.nimejitoa kuwa towashi nifanye kazi ya mungu.
 
unauhakika kuwa towashi ni kazi ya mungu? kama unauhakika unawezaje kukaini maagizo ya unayesema ni mungu kwamba mkazaane na huku unaamini unamtumikia kweli, dont you see the contradiction?
 
1.sitawai penda 2.sitawai zini 3.sitawahi kuwa choko 4.sitawai penda 5.sitawahi oa 6.namkataa shetani na mambo yake. 7.nitaishi hivi hadi kufa sitawahi acha uzao duniani.nimejitoa kuwa towashi nifanye kazi ya mungu.
Wewe ni towashi wa aina gani mkuu... wa kuzaliwa , kujifanya au kufanywa na watu?
 
1.sitawai penda 2.sitawai zini 3.sitawahi kuwa choko 4.sitawai penda 5.sitawahi oa 6.namkataa shetani na mambo yake. 7.nitaishi hivi hadi kufa sitawahi acha uzao duniani.nimejitoa kuwa towashi nifanye kazi ya mungu.
Wewe ni Padre, Mtawa au Sista. Hebu weka wazi tujue.
Maana maua ya duniani yanavutia ila ndio hivyo yanachanuliwa na kila mtu.
 
1.sitawai penda 2.sitawai zini 3.sitawahi kuwa choko 4.sitawai penda 5.sitawahi oa 6.namkataa shetani na mambo yake. 7.nitaishi hivi hadi kufa sitawahi acha uzao duniani.nimejitoa kuwa towashi nifanye kazi ya mungu.
Una umri gani Sasa?.
Ila Bado hujachelewa wanawake ni wengi sana humu ndani
 
1.sitawai penda 2.sitawai zini 3.sitawahi kuwa choko 4.sitawai penda 5.sitawahi oa 6.namkataa shetani na mambo yake. 7.nitaishi hivi hadi kufa sitawahi acha uzao duniani.nimejitoa kuwa towashi nifanye kazi ya mungu.
Hii ni version nyingine ya Deogratius Nalimi Kisandu
 
1.sitawai penda 2.sitawai zini 3.sitawahi kuwa choko 4.sitawai penda 5.sitawahi oa 6.namkataa shetani na mambo yake. 7.nitaishi hivi hadi kufa sitawahi acha uzao duniani.nimejitoa kuwa towashi nifanye kazi ya mungu.
Wewe ndiye uliwahi kujiita Binti Tz?
 
1.sitawai penda
Sawa
2.sitawai zini
Sawa
3.sitawahi kuwa choko
Chukua control # kwa Dudubaya akupe namba ya usajiri
4.sitawai penda
Ushasema umerudi au unataka kuolewa?
5.sitawahi oa
Kwa hio unataka kuolewa?
6.namkataa shetani na mambo yake.
Kwanini shetani amekufanya nini?
7.nitaishi hivi hadi kufa sitawahi acha uzao duniani.nimejitoa kuwa towashi nifanye kazi ya mungu.
Kwa hio utaolewa na nani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom