Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,550
- 31,558
1:Utaonekana mwerevu pale utakapo kuwa na kitu cha kuonesha, porojo za mdomoni ni sawa na mbwa koko kubweka tu.
2:hakuna mwanaume anayependa mwanamke mmoja, hakuna mwanamke anaye penda mwanaume asiye na kitu.
3:flashlights za dunia hii, zipo kukusherehekesha, ila kama huna plan ya maisha.. Utasherehekea kuyamaliza maisha yako haraka
4:wazazi nao watakulea kutokana na malezi walivyo pitia, so usiwanyooshe vidole wao, tambua upendo pekee ndio unaweza kuponya maumivu.
5:usidate na mtu mwenye chuki na marafiki zako, utapigwa tukio moja baya hautasahu.
6:ex hakimbiwi, asipokuja kuwa rafiki jiandae kupasha kiporo.
7:elimu bila uelewa wa maisha ni kazi bure.
8:tamaa ya mwili ndo adui mkubwa wa mwanadamu
9:ukikosa upendo ukiwa mdogo, utateseka sana maishani, maana hutakuwa na uwezo wa kulinda upendo(fear of commitment) utakuwa na hyper attention to rejection
10: mwisho wa yote ni mauti, so nothing really matters. Live and enjoy while you are healthy and lively.
Ya nyongeza, kwa wanaume pekee, jisake mwanangu... The world ain't in your favor. No one is gonna save you, it's you against the world..
De gunner🔥