Viagra zinavyotesa wazee

Viagra zinavyotesa wazee

Habari za jioni wapendwa,

Huyu baba ni mzee wa 60+ lakini pesa imemtembelea, si pesa hii ya kubadilisha mboga tu, hapana ni pesa ndefu, kila mwaka birth day yake anajipa treat ya Range Rover mpya ni mfano tu wa maisha anayoishi. Baba ana mke, watoto na wajukuu, lakini si unajua adabu ya pesa ameama kuwa mzee kijana.

Baba amepata kitoto cha chuo kikuu, sikujui kitoto kile kimempa mahaba gani mzee ambayo hajawaji kuyapata, mzee amechanganyikiwa kabisa kwa katoto ambacho kanaweza kuwa kitoto chake cha mwisho au kijukuu.

Kila alichotaka mtoto alipewa, sasa bwana, weekend moja mzee ameshachukua chumba hotelini akapumzike na mtoto. Mama nyumbani ameambiwa ni business meeting. Mzee amenunua Viagra aweke heshima kwenye mechi.

Goli la kwanza halijafika, mzee mapigo ya moyo yamebadilika, mzee chali kitandani. Mtoto akaona hili soo, alivyokuwa jasiri, katoto kalichukua face towel na kuanza kumfanyia mzee towel bath ili kupoteza ushahidi wa DNA zake. Mzee amekata roho kitu kikiwa katika 45 degree angle. Mtoto amevaa nguo, amechukua kile ki face towel huyooo kapotea.

Nyumbani wanamtafuta lakini mama alijua business meetings nyingi za mzee zinafanyika hotelini na akichelewa analala huko. Mhudumu wa hoteli aje afanye usafi ndiyo anakutana na maiti. Kujulikana ni nani, familia kupigiwa simu. Mama hana hamu, anaonyeshwa maiti ya mumewe kwenye shuka bado kitu kiko 45 degree angle.

Mwangalie afya zenu kwanza kabla ya kumeza haya ma Viagra.
huenda alikunywa pombe pia. viagra na pombe ni kujichimbia kaburi mapemaaaaa, hata kama ni kijana
 
Unauthorised accessOTE="King Kong III, post: 20862388, member: 28480"]Ukiwa na Matatizo ya Moyo na ukanywa Viagra lazima utazima juu ya kifua,Watu wengi wamezima kwa issue za viagra.[/QUOTE]
Una accelerate your own death
 
Yalimtokea rafiki yangu mfilipino chumba kimoja. Alileta demu wake akala cialis aina ya viagra. Alikosea alipo kunywa brandy. Baada ya goli la kwanza. Alianza kubadilika mapigo ya moyo. Akatuita na tukaita taxi kumuwahi hospital iliyoko umbali wa mita 200 .kuingia ndani ya taxi akaanza kutoka povu kufika hospital maiti.
Tulipona upelelezi kwa Dr. Kusema kafiwa hospital.
 
hivi ukitumia ile viagra kisha wa kushiriki mechi naye akose itakuwa vipi?..wajua mambo ya kihivi hutokea!
 
Kuna umri ukifika ni vyema kukubaliana na hali, kwa umri kama ule wapo wazee wanaoweza kuweka heshima angalau ya two rounds. Lakini kwa walio wengi umri ule ni kula vizuri kunywa na kulea wajukuu. Mara moja moja vitoto hicho ni kukichukua kikukandekande na kukunyoosha misuri.

Kuna Mzee Jirani yangu hapa sasa anaitafuta 81 lakini ni king'ang'anizi wa Mbunye za Watoto wadogo na kutwa akiingiza Demu room Kwake tukipiga chabo tunachoambulia ni kusikia tu akijamba mfululizo kila anapo pump Mkuyenge wake na akipizi tu lazima pia anye Kakimba angalau kadogo hivi.
 
Kutibu tena?
Ukiwa unamatatizo ya moyo huruhusiwi tumia viagra
kweli ila si wajua dawa ya moto ni moto...hizi dawa zikiwa katika vipimo tofauti na vile vya kutilia mioto ya kidume hujumuishwa na madawa mengine kwa ajili ya tiba ya heart attack..
Ombea yasikukute!!! Utapiga mabao ya mkono kutuliza!
waweza ukafanya lolote uje jutia baadae..si ndama si vijibwa si wapita njia..mwishowe ukajikuta taabani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom